Naomba kujua kuhusu Siddhartha Gautama (Buddha)

Salute Comrades...
Wakuu naomba kunfahamu huyu jamaa ni nani?
A-Z.
In short
Ndie anayeabudiwa na wachina,wathailand,wavetenam etc..
Alikua mtu wa watu sana, mwenye huruma hadi akaenda kuishi porini ili kujitesa mwenye (Alikua mtoto wa kitajiri)

Kama nimekosea mnisahihishe..
Nataka kujua zaidi juu ya mtu huyu..
Cc.
wick zitto junior Pascal Mayalla mshana jr
Una maana Siddharta Sakyamuni?
 
Sory hapo kidogo..mimi mbona sjikumbuki maovu na mazuri...au ndio nipo stage ya kwanza Kwenye life cycle?
Inaweza kuwa hujarealise upo stage gani ila through meditation kama anavyorecommend gautama ndio utajua umetoka wapi na unakwenda wapi kwenye maisha haya hivyo basi kwa imani hii unaweza ukapitia magumu mengi ukaishia kulalamika kumbe hujui maisha yaliyopita ulikuwa kibaka ndio maana mabaya yanakuandama

So ili uivunje chain fuata zile kanuni 8 za maisha basi utakuwa huru kutoka maisha ya mzunguko
 
Mkuu ndio imani yao hiyo na wanaamini ukifanya meditation ndio utajua ulipotoka na wapi unakwenda

Jiulize ulishwahu fanya meditation kabisa ile ambayo hata nzi akipita mita 50 unamsikia?? Gautama alifanya hiyo so na wwe jaribu unaweza pata majibu otherwise kwa imani yao ukifa na madhambi maisha yajayo utakuwa mmachinga huko bamako !!!
Teach me how to meditate..
 
Inaweza kuwa hujarealise upo stage gani ila through meditation kama anavyorecommend gautama ndio utajua umetoka wapi na unakwenda wapi kwenye maisha haya hivyo basi kwa imani hii unaweza ukapitia magumu mengi ukaishia kulalamika kumbe hujui maisha yaliyopita ulikuwa kibaka ndio maana mabaya yanakuandama

So ili uivunje chain fuata zile kanuni 8 za maisha basi utakuwa huru kutoka maisha ya mzunguko
Je tukishika amri kumi za Mungu dunia haitokua poa?
 
Yes ofkoz
Alipokuwa mtoto mtu mmoja "matakatifu" (sage) alimwambia baba yake Siddartha: "Mwanao akibaki ndani ya ngome ya Kasri ya Mfalme, atakuwa Mfalme maarufu sana na mkuu. Laiti akitoka nje ya ngome na kuzunguka zunguka huko na huko, atakuwa kiongozi mkubwa wa kidini." (FUME, 1979)
 
Inaweza kuwa hujarealise upo stage gani ila through meditation kama anavyorecommend gautama ndio utajua umetoka wapi na unakwenda wapi kwenye maisha haya hivyo basi kwa imani hii unaweza ukapitia magumu mengi ukaishia kulalamika kumbe hujui maisha yaliyopita ulikuwa kibaka ndio maana mabaya yanakuandama

So ili uivunje chain fuata zile kanuni 8 za maisha basi utakuwa huru kutoka maisha ya mzunguko
So tupo kwenye mzunguko wa kubadilishana avatar sindio?
But waliokufa ni wengi kuliko walioko duniani kwa sasa..it means kunawangine wakifa hawarudi tena duniani kuvaa avatar /miili mengine?.
 
Wengine walitenda zile kanuni 8 hivyo wamevunja hyo circle.... Pia wengine hawazaliwi wanyama unaweza zaliwa punda au hata maua!!! It all depends uliishi maisha ya aina gani kabla ya kifo so so usikute punda anayebeba mamizigo unamwasha fimbo ndio saddam hussein!!!

Ina controversy nyingi ila ndio imani yao so tuichukue tu kama ilivyo kwamba ukifa unarudi tena so on mpaka UJITAMBUE na uwe buddha ndio unapona
 
Je tukishika amri kumi za Mungu dunia haitokua poa?
Hakuna sheria moja kati ya zile 8 ambazo ukristo au uislam hauzikubali hivi kuna dini inapinga maisha ya kujinyima?? Yaani ya kuwa na kiasi??
Kuna dini inapinga kushinda tamaa za mwili
Kuna dini inapinga kuwa na mawazo mema na kuepuka fikra chafu?? And so on

Amri 10 za Mungu well and good ila pia hizo kanuni 8 za buddha nazo zimesaidia kuwafanya wabuddha wawe na maadili sana kuliko dini nyingi hapa duniani
 
UMEULIZA SWALI LA MSINGI SANA AMBALO HAWATAKUJIBU. MFANO MIMI SIFAHAMU HAPO KABLA NILIISHI MAISHA GANI NA YAME AFFECT SASA KWA NAMNA GANI. AT least mtu angekuwa anajua sasa amezaliwa mbwa au samaki sababu alitenda maovu.otherwise ni upuuzi tu uso na maana.

sasa mkuu itafaa nini kama utazaliwa bila kujitambua kuwa ndio wewe yule uliyekuwa ukitesa na mali zako au ukiua watu.. kwamba sasa haya ni malipo
 
UMEULIZA SWALI LA MSINGI SANA AMBALO HAWATAKUJIBU. MFANO MIMI SIFAHAMU HAPO KABLA NILIISHI MAISHA GANI NA YAME AFFECT SASA KWA NAMNA GANI. AT least mtu angekuwa anajua sasa amezaliwa mbwa au samaki sababu alitenda maovu.otherwise ni upuuzi tu uso na maana.
Mkuu ni imani yao hiyo na wanadai unaweza ukapigika mpka siku ufanye meditation ya kwanini maisha yako yapo kma yalivyo hapo ndio utajua how ur past life has affected ur current one ila bilo hivo utaishia kwenye mzunguko wa kuhangaika milele

So jibu hapo ni dogo tu kwamba kma hukumbuki then MEDITATE
 
Mbwa au mbuzi huwa wana meditate? Maana inasemekeana wengine huja kuzaliwa kama wanyama. But mi nmesha meditate sana... Ilipaswa mtu afaham bila shaka kuwa alikuwa x now amezaliwa kama y

Back
Top Bottom