Naomba kujua kuhusu teuzi

Naomba kujua kuhusu teuzi

1.Das-Katibu Tawala Wilaya ni Mtendaji Mkuu katika Wilaya ni nafasi ya kiutendaji sio kisiasa-huteuliwa na Katibu Mkuu Utumishi na sio Rais
2.Kunapofanyika mabadiliko ukaachwa hupangiwi kazi nyingine bali unarudi katika cheo chako cha wali kabla ya kupata teuzi hiyo.Kama ulikuwa Afisa Tawala Mwandamizi basi utarudi kwenye cheo chako cha Muundo.
3. DAS ni laazima awe public servant na sio vinginevyo-MAGUFULI alikwenda against kanunzi za Utumishi wa Umma na kuteua MADAS pasipo kufuata sheria za utumishi wa Umma na Katiba,hivyo ni lazima atarejea kwenye kazi yake ya awali baada ya kutenguliwa.
4.Hakuwahi kutokea DAS akawa sio Mtumishi wa Umma kabla ya Magufuli,kwa kuwa Marais wote waliotanguli waliiendesha Nchi kiutawala kwa kufuata Sheria na Kanuni-hawa alioteuliwa na Magufuli kama hukuwa mtumishi wariludi uraiani.
5. ukifuata miongozo iliyopo sio rahisi Mwalimu kupata uteuzi wa Kuwa DED au DAS kutokana na kuwa DED lazima uwe miongoni wa Wakuu wa Idara. Hivyo basi kanuni za uteuzi zilizopo zinawabeba Wachumi/Maafisa Mipango kuwa Wakurugenzi/DED na Maafisa Tawala/Utumishi kuwa MADAS- hii ilitokana na kuwa Ma-DED wanasimamia maendeleo ya Halmashauri (Bajeti & MIpango) na Ma-Das wanasimamia Utawala ndani ya Wilaya
Kuna DAS wameteuliwa juzi walikua jobless kabisa ujue
 
Smart
 
Back
Top Bottom