sawa,shukranTV ni samsung,lg &Sony tena upate kwa authorized dealer, otherwise chukua TCL
hisense hakuna tv narudia tena hakuna tv mle, juz nlienda kwny banda la mpira nikakuta kuna hisense smart 55 inch na used samsung ya kzaman sn hata sehemu ya kuweka flash hakuna ni zenye mafrem makubwa ajabu used samsung ya kzaman ilikuwa na quality picture kuliko hayo ma hisense na mengi ni mabovu sn upande wa kioo, bora umenye tu alitop, goodvision,mr uk, boss nk ukapambane nazo kuliko kutoa pesa nyng kununua hisense ambayo hata 20 bora ya tv duniani haipo kbs.Sijui kuhusu hiyo brand ila najua kitu kimoja kuhusu brand ya hisense, wale jamaa wanatengeneza tv si mchezo
Wote hao ni wachina ila mchina hisense ni noma na nusuhisense hakuna tv narudia tena hakuna tv mle, juz nlienda kwny banda la mpira nikakuta kuna hisense smart 55 inch na used samsung ya kzaman sn hata sehemu ya kuweka flash hakuna ni zenye mafrem makubwa ajabu used samsung ya kzaman ilikuwa na quality picture kuliko hayo ma hisense na mengi ni mabovu sn upande wa kioo, bora umenye tu alitop, goodvision,mr uk, boss nk ukapambane nazo kuliko kutoa pesa nyng kununua hisense ambayo hata 20 bora ya tv duniani haipo kbs.
Kweli jamaa wamejitahidi sanaSijui kuhusu hiyo brand ila najua kitu kimoja kuhusu brand ya hisense, wale jamaa wanatengeneza tv si mchezo
Wewe umefanya hivo?Nunua tambara funga sinema.
Ni imara ila zina poor resolution sana, no hd ya 720p , achana nayo bora hata solar max ni 1080p hdHabari, kama kichwa cha habari kinavojieleza nilikua naomba kujua kuhusu ubora wa hizi tv za goodvison, kwa mwenye uzoefu nazo.
Ukitaka kununua vitu, jitahidi ununue vitu vyenye ubora na majina yanayoeleweka.OKAY ASANTE
Uzi ufungweTV ni samsung,lg &Sony tena upate kwa authorized dealer, otherwise chukua TCL
Nilikuta hisense 43 nch ni laki 5 na Solar Max/Alitop/Vitron ni 360k. Tofauti ni laki na nusu nzima. Hadi naandika ujumbe huu, sijutii kuitupa Hisense mbele ya Solarmax. Solarmax ina android, Hisense ina vidaa sijui nini. Hii Solarmax ina wifi, bluetooth, full hd, android nk yaani ina kila kitu mkuu.hisense hakuna tv narudia tena hakuna tv mle, juz nlienda kwny banda la mpira nikakuta kuna hisense smart 55 inch na used samsung ya kzaman sn hata sehemu ya kuweka flash hakuna ni zenye mafrem makubwa ajabu used samsung ya kzaman ilikuwa na quality picture kuliko hayo ma hisense na mengi ni mabovu sn upande wa kioo, bora umenye tu alitop, goodvision,mr uk, boss nk ukapambane nazo kuliko kutoa pesa nyng kununua hisense ambayo hata 20 bora ya tv duniani haipo kbs.
Upo sahihi mkuu, mimi nilibeba solarmax na ni kweli ni HD 1080. Siku naenda kununua nilibeba flash yenye movies zenye quality ya 1080p na nikataka zitestiwe palepale. Nikatest kisha nikalipa 360,000 nikarudi home.Ni imara ila zina poor resolution sana, no hd ya 720p , achana nayo bora hata solar max ni 1080p hd
Goodvision FHD ile double glass iko vizuri sana nina miaka 6 nayo kwa biashara ya ukumbi wa mpiraHabari, kama kichwa cha habari kinavojieleza nilikua naomba kujua kuhusu ubora wa hizi tv za goodvison, kwa mwenye uzoefu nazo.