Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Hoja yangu ni kwamba mwanamke kwa mfano akiwa ameweka kijiti kile cha muda wa miaka mitano (5) na akafikisha miaka mitatu (3) nacho akaamua kukitoa kabla ya muda uliyokusudiwa
Je anaweza kupata mimba mara baada yakukitoa ama atasubiri mpaka miaka hiyo mitano (5) ifike
Je anaweza kupata mimba mara baada yakukitoa ama atasubiri mpaka miaka hiyo mitano (5) ifike