Naomba kujua kuhusu vipandikizi vya uzazi kwa mwanamke (Kijiti)

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Hoja yangu ni kwamba mwanamke kwa mfano akiwa ameweka kijiti kile cha muda wa miaka mitano (5) na akafikisha miaka mitatu (3) nacho akaamua kukitoa kabla ya muda uliyokusudiwa

Je anaweza kupata mimba mara baada yakukitoa ama atasubiri mpaka miaka hiyo mitano (5) ifike
 
Jibu ni ndiyo
 
Inategemea na mtu na mtu,kuna mwingine akitoa Tu anashika, mwingine utasanda kweli kweli!!
 
Duh wataalam njoen na majibu basi watu tupate kujifunza
 
Mwanamke anapoacha kutumia uzazi wa mpango anashika mimba
Zingatia neno ANAPOACHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…