Naomba kujua kwanini Members wengine hapa wana Followers wengi na Wengine pamoja na Kujitutumua Kwetu JF bado hatuna hata Mmoja tu?

🀣🀣🀣
Kazi unayo kwa hii aidii yako ingine.. Acha kuishi na chuki hata ujanja wa kuandika hivi.. unaumia upo bizi Lusaka rivenji hadi umefikiri ya followers hao wenzako labda hawajawahi kufatilia kama mimi.
 
Nadhani ni kutokana na ushawishi wa mtu binafsi na kile anachochangia humu JF.
kwahiyo unataka kusema mimi Cognizant, Dabil na Charles kilian hatuna Ushawishi, mvuto na akili ndiyo maana hatuna hata follower mmoja tu na tumebakia na wivu, chuki na roho mbaya zetu zilizotukomaa hadi katika kope zetu za macho?
 
Points ndo unaita followersπŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani na wewe unategemea mm nimjibu genta kabisa. Ukaenda kufungua id yangu ujue.😹😹😹😹😹 OOH MY GOOODπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€–πŸ˜‚.
 
.........jitahidi kuongeza ubora wa content katika posti zako utapata followers, binafsi sina folowaz, huwa nafarijika tu nikipata likes kutoka kwa kina raraa reree........

🀣🀣🀣
Mwenzako kaandika kuhusiana na hao wawili aliowatagi na kujitagi pia kutingishia.. ako na gemu yake kwa hili.
 
🀣🀣🀣
Kazi unayo kwa hii aidii yako ingine.. Acha kuishi na chuki hata ujanja wa kuandika hivi.. unaumia upo bizi Lusaka rivenji hadi umefikiri ya followers hao wenzako labda hawajawahi kufatilia kama mimi.
what a rubbish and nonsensical post
 
Nimeambiwa Cogniz = Minocy = Genta

Akili kumkichwa πŸ˜†πŸ€ͺ
na kwa aina hii ya majibu yako ya kiuwendawazimu na makasiriko ungekuwa na hata follower mmoja ningeshangaa na kuona wote wewe na yeye follower wako mna matatizo ya akili
Kwani wewe huyo follower wako ameshakuvisha pete? 😁😁😁
 
Sasa mtu una ID 200,ukijifollow mwenyewe kwa ID zako zote si ndo utakua na followers 200!??
nasikia na wewe uko katika tatu bora hapa jamiiforums ya members wenye utajiri wa followers je, ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…