Naomba kujua kwanini Members wengine hapa wana Followers wengi na Wengine pamoja na Kujitutumua Kwetu JF bado hatuna hata Mmoja tu?

Naomba kujua kwanini Members wengine hapa wana Followers wengi na Wengine pamoja na Kujitutumua Kwetu JF bado hatuna hata Mmoja tu?

Anazuga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Jina lake tu, kambi ya fisi ๐Ÿคฃ
Fisi si unawajua lakini?!!
Natamani nikuletee huku kambi ya fisi ushuhudie kulivyo kuzuri, amani tele, mioyo iliyovunjika hugangwa kambi ya fisi, mateka waliofungwa huwekwa huru.

Shida yako unadhani kambi ya fisi ipo kule serengeti national park ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wewe wote tunajua fisi kazi yao ni kudeal na nini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hakuna mimba ya bahati mbaya, ikiingia ilikusudiwa na Mungu mwenyewe, so ukijirengesha tu kwa kwa baba mchungaji utaijaza nchi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ba
Eee hizo tunamletea watumishi wa kuhubiri habari njema kutoka kwake sio sana!!!
Hazifatilii kabisaaa!! Ndiomana hata kahaba anaweza kuzaa mchungaji ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom