Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alivaa picha ipo JFUsije unapumua na kuhema juu juu kama una ushahidi wa picha ya Mwl aliyokua amevaa sare ya CCM tafadhali share , kama hakuna ni kwa nini aikua havai ?View attachment 2108981
[emoji38][emoji38][emoji38] Yaani Picha isiwepo Lumumba ila iwe JF !Alivaa picha ipo JF
Hata kama sare zimebuniwa 1990, bado ulikuwepo muda wa kutosha kwa Nyerere kuvaa hizo sare, kwasababu yako hii nakuona nawe huna akili.Huna akili kabisa wewe. CCM imezaliwa mwaka 1977, sare zimebuniwa mwaka 1990 wakati mzee alisha retire nafasi nyeti za uongozi.
by the way, kuvaa sare ni shobo za wachumia tumbo tu, its not a.must
Na pia alikuwa mwenyekiti wa chama chenu mpaka 1992 ndipo akamkabidhi Mzee MwinyiHata kama sare zimebuniwa 1990, bado ulikuwepo muda wa kutosha kwa Nyerere kuvaa hizo sare, kwasababu yako hii nakuona nawe huna akili.
Ccm ni zao la TANU na ASP,TANU inatoka a na taa,taa inatokana na AA...hakuna chama kilichoundwa na nyerere hapo,ni Kama Simba ilikua sunderlandNi kwa sababu nafsi yake ilimsuta baada ya kugundua ameshiriki kuunda kikundi cha upigaji, badala ya chama makini cha siasa.
Alipenda ujamaa na ukatoliki zaidiAlilipenda Taifa zaidi kuliko Chama
TANU baadae CCM dhumuni kubwa la Mwl ilikuwa ni kumtoa mkoloni
Waliofuta wakatengeneza chama cha kuwabagua WaTz
Hapo ndipo tofauti ilianza
Makaburu walizaliwa rasmi na ndipo tulipo leo
RIP Papa
Kwani Kutokuvaa kwake sare za kijani kunakuuma sana ama nini?Hata kama sare zimebuniwa 1990, bado ulikuwepo muda wa kutosha kwa Nyerere kuvaa hizo sare, kwasababu yako hii nakuona nawe huna akili.
Dah! Jamaa wana sura za kazi kazi. Yaani enzi hizo Mkoloni akiona watu wa aina hii, alikuwa anatimua mbio mwenyewe.Alivaa za kichadema zaidiView attachment 2108993
Usimtukane pasipo kujitafakari na wewe. Hoja ni kwa nini yeye akiwa kama mwanachama wa ccm hakuwa anavaa sare? Sasa unasema sare zimekuja akiwa ameshastaafu. Sasa kwani yeye akisataafu urais na sare nazo zinakuwa zimestaafu? Kwani kuvaa sare kwa mwanachama ni sharti uwe rais au madarakani? Akina Mzee Mwinyi na Kikwete wanavyovaa sare bado wapo madarakani? Au alipostaafu urais alistaafu na uanachama? Au alifariki kabla sare hazijazinduliwa? Kumbuka alifariki mwaka 1999.Huna akili kabisa wewe. CCM imezaliwa mwaka 1977, sare zimebuniwa mwaka 1990 wakati mzee alisha retire nafasi nyeti za uongozi.
by the way, kuvaa sare ni shobo za wachumia tumbo tu, its not a.must