Naomba kujua kwanini Mwl. Nyerere hakuwahi kuvaa sare ya CCM?

Naomba kujua kwanini Mwl. Nyerere hakuwahi kuvaa sare ya CCM?

Alivaa za kichadema zaidiView attachment 2108993
👇👇👇👇 Chaggadema 🤣🤣🤣🤣

IMG_20220205_152144.jpg
 
Huna akili kabisa wewe. CCM imezaliwa mwaka 1977, sare zimebuniwa mwaka 1990 wakati mzee alisha retire nafasi nyeti za uongozi.

by the way, kuvaa sare ni shobo za wachumia tumbo tu, its not a.must
CCM mpya wanadhani kuwa mwanachama ni sare na siyo Imani.
Hata wahalifu nao wanavaa ili kujificha humo maana ccm mpya wanajipendelea wazi wazi bila aibu yoyote.
 
Alijua kuwa kundi la kuzulumu na kunyanyasa wa Tz , ndiyo maana hata sare zao alizikataa.
 
Huna akili kabisa wewe. CCM imezaliwa mwaka 1977, sare zimebuniwa mwaka 1990 wakati mzee alisha retire nafasi nyeti za uongozi.

by the way, kuvaa sare ni shobo za wachumia tumbo tu, its not a.must

Kwani alipo retire nafasi nyeti je pia ali retire na uanachama wa CCM ??
 
Huna akili kabisa wewe. CCM imezaliwa mwaka 1977, sare zimebuniwa mwaka 1990 wakati mzee alisha retire nafasi nyeti za uongozi.

by the way, kuvaa sare ni shobo za wachumia tumbo tu, its not a.must
Naona makamanda wote wanapiga gwanda wakiongozwa na gaidi, kumbe ni shobo tuu za wachumua tumbo!
Afadhali leo tumejuwa kuvaa sare za chama ni shobo za wachumia tumbo.
 
Hata kama sare zimebuniwa 1990, bado ulikuwepo muda wa kutosha kwa Nyerere kuvaa hizo sare, kwasababu yako hii nakuona nawe huna akili.
Kuvaa sare za chama ndo kuwa na akili? Kwahiyo nyumbu wore Wana akili kwa ajili wanavaa sare za magwanda yao?
Lakini mleta mada kasema kuvaa sare ni shobo za wachumia tumbo.
 
Alijua kuwa kundi la kuzulumu na kunyanyasa wa Tz , ndiyo maana hata sare zao alizikataa.
Mgombea urais wenu 2015 pia alizikataa sare zenu, je alijua kuwa chadema ni kundi la kuzulumu na kunyanyasa waTz?
 
Back
Top Bottom