naomba kujua mishahara ya maafisa habari / wasemaji wa vilabu vya nbc premier league ukiondoa tu wanaolipwa vyema wa yanga, simba na azam tafadhali

naomba kujua mishahara ya maafisa habari / wasemaji wa vilabu vya nbc premier league ukiondoa tu wanaolipwa vyema wa yanga, simba na azam tafadhali

Kwani laki 5 ni ndogo??? Kuna graduates wanalipwa kiasi icho kama mshahara!!!
 
Azizi Ki amepewa na Yanga $500,000 sawa na Tsh. 1.2B pamoja na mshahara wa Tsh. 48M kwa mwezi. Lakini pia alikuwa na fursa ya kupewa mshahara wa Tsh. 91M na CR Belouizdad, amezichomoa. Sharti alilotoa kwa Yanga ni kwamba kabla hajasaini, kati ya hizo 1.2B, nusu yake yaani 600M ziwe zinasomeka kwenye akaunti kabisa, maana alishashuhudia kwa wenzie wanaoenda kushtaki FIFA. Yanga imekubali yote
 
Back
Top Bottom