Hao ni wafanyakazi wa mama Abdul!!Ni wafaransa mkuu muanzilishi anaitwa Gauthier Guillaume wana hotel nchi nyingi Africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni wafanyakazi wa mama Abdul!!Ni wafaransa mkuu muanzilishi anaitwa Gauthier Guillaume wana hotel nchi nyingi Africa
Pesa toka kwa wajomba!!Duuh watu wana pesa balaaa
Hapana mkuu yaani ukiwa na rangi nyeupe ni rahisi kufanya biashara kwa masikini kuliko raia wenyeweHao ni wafanyakazi wa mama Abdul!!
Aisee watu wana pesa sio mchezoIngia Kilindini ukale bata wewe achana na story za kwanza Hotel na mafumbototo [emoji23][emoji3]View attachment 2811892View attachment 2811891View attachment 2811893View attachment 2811894
Aisee watu wana pesa sio mchezo
Pesa za wajomba hizo!!Aisee watu wana pesa sio mchezo
Kuna Msaidizi ( Mlinzi )wa Diplomat Mmoja anayeambatana nae Kokote huyo Boss wake kanitajia Mmiliki wa hiyo Hotel hadi nikashikwa na Butwaa na kuionea Huruma Tanzania yangu nikasema ngoja nije Kujiridhisha Kitaarifa hapa Jamiiforums na nashangaa kuona umeleta Jina la Mmiliki hewa wakati Mmiliki halisi tutakuwa nae busy sana Majukwaani 2025.Hii Hotel kuna dogo alipata kazi hapo na wamiliki niView attachment 2811885
Acha fitna na kueneza chuki we mamaHasa huyu HSS ana Hela sana kwa sasa hapa Tanzania Bara na Visiwani.
Uhakika ni kwenye blog yake na hotel zaoUna uhakika?
KumbeKuna Msaidizi ( Mlinzi )wa Diplomat Mmoja anayeambatana nae Kokote huyo Boss wake kanitajia Mmiliki wa hiyo Hotel hadi nikashikwa na Butwaa na kuionea Huruma Tanzania yangu nikasema ngoja nije Kujiridhisha Kitaarifa hapa Jamiiforums na nashangaa kuona umeleta Jina la Mmiliki hewa wakati Mmiliki halisi tutakuwa nae busy sana Majukwaani 2025.
Nakuaminia kwa baadhi 😆 😂Ukiona GENTAMYCINE nakuja na Jambo hapa Jamiiforums halafu ama Nalichokoza au Nasisitiza mno ( huku Nikifumba ) hapa na pale basi kwanza liamini 100% halafu pia kuwa nalo makini sana sawa?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!
Sawa bossNiaminie kwa yote tu kuanzia leo Ok?
Karibu kwenye ulimwengu wa "corparates".Hapana mkuu yaani ukiwa na rangi nyeupe ni rahisi kufanya biashara kwa masikini kuliko raia wenyewe
Unafikiri hatuna hela za kufungua viwanda bongo la zipo ila hawataki kutoa uraia pacha wanajua tutakabana kwenye 10%
Hizi hotel zipo nyingi wala mama hahusiki ipo Kenya nayo ni ya Ruto ama
Ipo Seychelles na hata Cairo ila sio ya Al sisi.
Ila useme ufungue wewe utazungushwa mpaka ukate tamaa
Asante mkuu, najua kuna wengine huwa hawataki kujitambulisha na wanakuwa anonymous na hata uchimbe kiasi gani huwapati labda uwepo kwenye kikao 😄Karibu kwenye ulimwengu wa "corparates".
Kuna miaka nilikuwa kwenye "CEOs roundtable", humo ndio nikajua Mr Wang wa Goodwill & Sapphire Float Glass ni za nani kiuhalisia.
Mtibwa Sugar na Kagera Sugar ya Seif ni ya nani.
SSB & Companies ni ya nani.
Motisun Group ya Subash ni ya nani kiuhalisia, na listi ni ndefu sana.
Majibu yanajulikana mbonaNiaminie kwa yote tu kuanzia leo Ok?
A hiyo kabla mzalendo hajazikwa tayari watu walianza kudokoa jikoni?Nijibuni haraka kwani kwa jinsi ilivyo, ilivyojengwa kwa haraka kuanzia tarehe 21 Machi, 2021 na inavyojaza Watu sasa na Huduma zake na Mimi GENTAMYCINE natamani kwenda, ila ili niende nikiwa na Furaha tele ningependa hasa nimjue Mmiliki wake ili nimpongeze kwani amejua kutumia Fursa na Mwanya ulioko / alionao.
Uanwatukna watu ukifungiwa unaanza kulalamika wew Ni mshenzi sanaInafanana kabisa na ile ya anayekubebesha Mimba zake Tukuka kila mwaka.
Ungesema hao watu hata Kwa code na wengine tuwafahamuKaribu kwenye ulimwengu wa "corparates".
Kuna miaka nilikuwa kwenye "CEOs roundtable", humo ndio nikajua Mr Wang wa Goodwill & Sapphire Float Glass ni za nani kiuhalisia.
Mtibwa Sugar na Kagera Sugar ya Seif ni ya nani.
SSB & Companies ni ya nani.
Motisun Group ya Subash ni ya nani kiuhalisia, na listi ni ndefu sana.