Naomba kujua Nyumba zinazonukia, Wanafanyaje?


Hakikisha wewe na familia yako hamna allergies vinginevyo kuna kuanza kutafuta mchawi aliyelogea asthma.
 
Hakikisha wewe na familia yako hamna allergies vinginevyo kuna kuanza kutafuta mchawi aliyelogea asthma.
Hili nalo nenooo,nadhani ni vyema tu kufanya usafi na hewa fresh iwepo kwa kiasi kikubwa.. Ama harufu ikiwepi basi iwe kidogo visizidi
 
Hili nalo nenooo,nadhani ni vyema tu kufanya usafi na hewa fresh iwepo kwa kiasi kikubwa.. Ama harufu ikiwepi basi iwe kidogo visizidi

Muhimu kuchagua kutokana na matakwa na mahitaji. Sio kuona fulani anatumia vinyunyizi vya ukutani nyumba inanukia basi mtu unacopy na kupaste tu.
 
Nimejifunza kitu ila waarabu wanamarashi ya nyumba balaa ila kiukweli kale ka harufu ka club(hasa club quality sio vumbi..[emoji23])huwa napenda sana kale ka smell honestly
 
 
Mkebe mmoja unatumika muda gani mkuu mpaka kuisha??
 
The Boss .. Kuuliza Si Ujinga

Ungewauliza tu Wenye Nyumba
 
The Boss, ingia baby shop ya msasani mall. Kuna kitu kinaitwa essential oils. Inakuwa Na dispenser yake Na sticks unachomeka humo. Zinatoa harufu moderate wakati wote.

Pia kuna potti pour, ni kama maua ya aina mbali mbali unachukua Na essential oils za fleva mbali mbali. Ila hii ni bei rahisi sana lakini haikai muda mrefu lazma uwe unamiminia kila wakati.

Ukiongea Na wahudumu watakuelekeza zaidi.

Bottom line usafi wa nyumba ni muhimu sana. Hakikisha usafi unafanyika kwa kutumia sabuni wakati wote (ya maji ni njema zaidi ). Kuna harufu flani mimi huita ya kuzubaa huwa inanitia kichefuchefu Kabisa. Na sio kila Mtu anapenda udi AMA harufu kali
 
Hv kuna mti unaitwa muasumini au ni maua hayo..?kuna mti flani hvi jirani na chumbani basi usiku unatoa harufu nzuri sana...una maua ya njano hivi..siujui jina
Sasa mmeleta vitu vingi hadi nimechanganyikiwa sijajua ipi bora zaidi?
 
Naona mauzo ya hizi air freshener yameongezeka huko supermarket.
 
The Boss .. Kuuliza Si Ujinga

Ungewauliza tu Wenye Nyumba


Natumia ushauri wa humu kwanza nikiona bado ile harufu sijaipata ntaenda tena tu kuwauliza
 
Air freshners za aina mbalimbali! Kuna zile za kuspray kama dawa ya mbu,au kuna za kuchomeka ukutani na kwa msaada wa umeme.
hzo za kuchomeka ukutani kwa kutumia umeme zikoje na zinaitwaje name nataka niweke kwangu pls nitajie zinakuwaje
 
Usasa mwingne una madhara...safisha nyumba...epuka v2 nyenye harufu mbaya.....large windows....allow hewa iingie na kutoka....hayo maarufu ya wadhungu hachana nayo.......cancer.....westerners dump them here. Stay natural dude.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…