Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimezipenda hizo vitu hizo za kuchomeka kwny socket Nyani Ngabu
Nilikua natumia scented candles hofu ni kuunguza vitu ndani..japo ni nzuri sana kwa kweli
kando ya hapo air freshener, detergent za usafi,fabric softener ya pazia bado harufu nzuri inakua temporary,..
Hili nalo nenooo,nadhani ni vyema tu kufanya usafi na hewa fresh iwepo kwa kiasi kikubwa.. Ama harufu ikiwepi basi iwe kidogo visizidiHakikisha wewe na familia yako hamna allergies vinginevyo kuna kuanza kutafuta mchawi aliyelogea asthma.
Hili nalo nenooo,nadhani ni vyema tu kufanya usafi na hewa fresh iwepo kwa kiasi kikubwa.. Ama harufu ikiwepi basi iwe kidogo visizidi
Mimi kwangu huwa natumia air fresheners za kuchomeka kwenye soketi za umeme na ambazo ninaweza kudhibiti kiasi cha marashi yatokayo.
Baadaye nitaweka picha hapa muone nachozungumzia.
wacha urongooo
Jingine ni kutumia scented candles. Napendelea zaidi brand ya Yankee Candle.
Na huwa sipendi kupika vyakula vyenye shombo kali kama vile kukaanga samaki na kadhalika.
Nikikaanga samaki huwa nakaangia nje kwenye deck.
Halafu huwa napendelea zaidi marashi ya fresh na citrus.
Usafi wa nyumba nao husaidia pia. Hakikisha nyumba yako ni safi na yenye kuingiza na kutoa hewa vizuri.
Mkebe mmoja unatumika muda gani mkuu mpaka kuisha??Mie natumia automatic air fresher ambayo inatumia batteries, kama upo dsm waeza kwenda nakumat super market, game, au maisha supermarket.. Kama unanunua kwa mara ya kwanza utaipata kwa elfu 25 maximum price ambayo inajumuisha mashine na mkebe wake... Lakin mkebe ukiisha utalazimika kununua mkebe mwingne na kuuweka kwa mashine.. Kuna mkebe wa 5000 na kuna ya 12000 inategemea wataka wa kampuni gan ingawa mashine ni universal yakubali mikebe ya kampuni yoyote iliyokua designed for automatic air fresher.
Mkebe mmoja unatumika muda gani mkuu mpaka kuisha??
The Boss .. Kuuliza Si UjingaKuna nyumba niliingia hivi karibuni dah ilikuwa ina nukia harufu nzuri ajabu
nimejikuta niko curious na nini hasa wanatumia....hadi nyumba inanukia vile
nilishindwa kuuliza sababu kilichonipeleka kilikuwa kingine kabisa
wenye tips za kuwezesha nyumba zetu zinukie hebu wekeni hapa
ni nini hasa mnatumia?
Sasa mmeleta vitu vingi hadi nimechanganyikiwa sijajua ipi bora zaidi?Hv kuna mti unaitwa muasumini au ni maua hayo..?kuna mti flani hvi jirani na chumbani basi usiku unatoa harufu nzuri sana...una maua ya njano hivi..siujui jina
Haha poleh, uzuri wa option nyingi inakupa nafasi ya kuchagua inayoendana na wewe na mazingira uliopoSasa mmeleta vitu vingi hadi nimechanganyikiwa sijajua ipi bora zaidi?
hzo za kuchomeka ukutani kwa kutumia umeme zikoje na zinaitwaje name nataka niweke kwangu pls nitajie zinakuwajeAir freshners za aina mbalimbali! Kuna zile za kuspray kama dawa ya mbu,au kuna za kuchomeka ukutani na kwa msaada wa umeme.
Nyumba kama hizi lazima zinukie vizuri.
Guess ni ipi nyumba ya wenu mtiifu hapo[emoji12]
View attachment 424732
View attachment 424733