Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kuna watu watakutana na mito ya pombe ikitiririka!! Yaani unakunywa mpaka unaoga kabisa humo humo!Inasemekana ni haramu hapa duniani ila huko peponi utagida[emoji16]
kwanza haya maneno 2 haramu na dhambi unajua maana yake na asili yake? tuanzie hapoPombe haijawahi kuwa dhambi, au haram! Ila matendo mabaya yatokanayo na hiyo pombe sasa, ndiyo yatampeleka mtu kutenda dhambi! Na hivyo mwisho wa siku kuchukuliwa kama haram.
kama kweli unashida ya kufahamu bila shaka hapo mtaani kwako kuna viongozi wa dini ya uwisilamu wakute watakujibu tu hapa unatafuta kujibiwa hili upate nafasi ya kutukana tumechoka na hayo matusi yenuWadau hamjamboni nyote?
Kwa heshima kubwa naombeni mnipatie majibu kupitia vyanzo sahihi kwa kuzingatia kichwa cha habari.
Je Pombe ni dhambi au ni haramu?
Je Pombe imekatazwa na Quran tukufu ama Mtume Mohamed?
Kashfa ya aina yeyote nitaomba Moderator afute Uzi huu
Aksante Niwatakie Jumapili njema
Hilo swali lako nadhani ungemuuliza mtoa mada. Mimi nimetoa tu maoni yangu.kwanza haya maneno 2 haramu na dhambi unajua maana yake na asili yake? tuanzie hapo
😂Ningekuwa mimi watakuwa wananibeba,nikitoka hapo nachakata bikira mbili kati ya zile 70🤣Kuna watu watakutana na mito ya pombe ikitiririka!! Yaani unakunywa mpaka unaoga kabisa humo humo!
ukutoa maoni bali umejibu swali lakini powa sio kesi ndugu amani itawaleHilo swali lako nadhani ungemuuliza mtoa mada. Mimi nimetoa tu maoni yangu.
dhambi haramu nini maana ya maneno haya na wapi asili yake?Inategemea itakavyokupelekesha ,kama ukinywa kisha ukaendelea na mambo yako fresh sasa hiyo dhambi inatoka wapi? Dhambi inatokuja kwa mawazo(mawazo mabaya) ,kwa maneno(maneno mabaya),Kwa vitendo na kwa kutotimiza wajibu.
Kwani Divai ni nini?
unabwabwaja kama kindagatiPOMBE sio DHAMBI ILA NGONO NDIO DHAMBI NDIO MAANA LINAITWA TENDO LA NDOA
Kwenye chupa ya kilevi chochote zimeandikwa......drink responsible...ama haiuzwi below 18 yearsWadau hamjamboni nyote?
Kwa heshima kubwa naombeni mnipatie majibu kupitia vyanzo sahihi kwa kuzingatia kichwa cha habari.
Je Pombe ni dhambi au ni haramu?
Je Pombe imekatazwa na Quran tukufu ama Mtume Mohamed?
Kashfa ya aina yeyote nitaomba Moderator afute Uzi huu
Aksante Niwatakie Jumapili njema
Yatapewa wapi?mito ya wine na mabinti bikra 72
Yakishakufa afu yakahukumiwa na kwenda mbinguniYatapewa wapi?
Wadau hamjamboni nyote?