Naomba Kujua Pombe ni Dhambi au ni haramu? Imekatazwa na Quran au Mtume Mohamed?

Katika uislam ulevi ni haram(kukatazwa) na kitu chochote kilicho haram basi ni dhambi hyo
Allah anasema katika qur anيَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ

[ AL - MAIDA - 90 ]
Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kwa heshima kubwa naombeni mnipatie majibu kupitia vyanzo sahihi kwa kuzingatia kichwa cha habari.

Je Pombe ni dhambi au ni haramu?
Je Pombe imekatazwa na Quran tukufu ama Mtume Mohamed?

Kashfa ya aina yeyote nitaomba Moderator afute Uzi huu

Aksante Niwatakie Jumapili njema
Pombe ni kilevi cha zamani sana ukisoma kwenye historia na kwenye Quran pombe imekatazwa mara tatu kwasababu maswahaba walikuwa wamedumbukia kwenye ulevi uliopitiliza ikaja katazo la kwanza likisema

"Msikaribie swala ikiwa mmelewa' (an nissa:43)

Ila haikusaidia maana walikuwa wakitoka kwenye ibada break ya kwanza kwenye pombe likaja katazo jingine likisema

'Enyi ambao mmeamini hakika ya ulevi na na masanamu na ramli na mishale ya kutizamia ramli ni uchafu na ni miongoni mwa matendo ya shetani jiepusheni nayo huenda mkawa wachamungu wa kweli,

Uharamisho wa ulevi katika uislam,

Kwa hakika shetani anataka kukuleteeni uadui na bughudha baina yenu kwa ajili ya ulevi na kamari na anataka kukuzuilieni dhikiri za Allah na kuswali basi je mtaacha hayo (al maida:93)

Pombe ilikatazwa kwasababu watu walikuwa wanaenda kwenye ibada lakini hawana yakini na ufahamu wa kitu wanachokifanya wote tunajua pombe ilivyo na mtu akilewa kwa hyo lengo lilikuwa mtu akienda kwenye ibada ajue anachokifanya na mtume alipata sana tabu kukataza jambo hilo.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Pombe haijawahi kuwa dhambi, au haram! Ila matendo mabaya yatokanayo na hiyo pombe sasa, ndiyo yatampeleka mtu kutenda dhambi! Na hivyo mwisho wa siku kuchukuliwa kama haram.
Exactly !! " Msinywe pombe hakika iyo pombe ni ufunguo wa kila Shari"
 
Mangumbaru yanaambiana kuwa yatapewa mito ya wine na mabinti bikra 72. Hivyo mangumbaru yanaambiana yasinywe pombe hapa duniani ila yatakunywa huko peponi. Hawa watu ni wapumbavu wa hali ya juu.
Mkuu sasa ww unatafuta ugomvi nyie wenye akili ndio mmeruhusu homosexuality kwenye dini yenu ina hata papa ataolewa karibuni maana amebariki hilo swala wakipitisha lazima nichukue vimwari nipige mzigo maana watakuwa hawajaguswa bado ila turudi kwenye hoja tuache kejeli na dharau

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Sawa, kwanza utambue mtume muhammad hasemi wala kufundisha lolote isipokuwa ni ufunuo kutoka kwa allah kwani yeye ni mtume tu na mfikishaji wa ujumbe uliotoka mbinguni.

Tukija kwenye swali lako pombe ni haramu kwa mujibu wa quran na sunnah, anasema allah hali ya kuwa ametukuka:

"Enyi mlioamini! hakika hapana vingine, pombe, na kamari, na kuabudu masanamu, na mahonza {kupiga ramli} ni uchafu katika matendo ya shetani, basi jiepusheni nayo ili mpate kufaulu"

"Hakika hapana vingine, shetani anataka kutia kati yenu uadui na chuki kwa pombe na kamari, na akuzuieni kumkumbuka allah na kuswali, basi je! hamtoacha?"

Qur'an 5:90-91

Na ziko hadithi nyingi tu za mtume muhammad kuzungumzia mada hii, ila tosheka na hayo.
 
Mkuu sasa ww unatafuta ugomvi nyie wenye akili ndio mmeruhusu homosexuality kwenye dini yenu ina hata papa ataolewa karibuni maana amebariki hilo swala wakipitisha lazima nichukue vimwari nipige mzigo maana watakuwa hawajaguswa bado ila turudi kwenye hoja tuache kejeli na dharau

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Hapa unazidi kuonesha ujinga na upumbavu kama sio ungumbaru uliopitiliza. Kama mtu sio muislamu ni lazima awe mkristo? Usiwe poyoyo. Kama mtu ni mkristo lazima awe roman catholic? Warudishie waazi wako hela ya ada waliyokulipia miaka yote ya shule. Biblia hairuhushu ushoga. Na inasema kabisa mashoga wanatakiwa wauwawe. Sasa sijui ni kitu unaongea wewe zumbukuku
 
Peponi kutakuwa na moto ya pombe,bible and qoran says,'haramu wametunga viongozi wako wa dini,ila ulevi ni dhambi
 
Mangumbaru yanaambiana kuwa yatapewa mito ya wine na mabinti bikra 72. Hivyo mangumbaru yanaambiana yasinywe pombe hapa duniani ila yatakunywa huko peponi. Hawa watu ni wapumbavu wa hali ya juu.
Sisi waislam hatusumbuki na ww na wanaotukejeli kwani Allah keshatuhusia...
وَعِبَادُ الرَّحْمَـٰنِ الَّذِينَ يَمْشُونَ عَلَى الْأَرْضِ هَوْنًا وَإِذَا
خَاطَبَهُمُ الْجَاهِلُونَ قَالُوا سَلَامًا

[ AL - FURQAN - 63 ]
Na waja wa Arrahman Mwingi wa Rehema ni wale wanao tembea ulimwenguni kwa staha, na wajinga wakiwasemeza hujibu: Salama!
 
Mangumbaru yanaambiana kuwa yatapewa mito ya wine na mabinti bikra 72. Hivyo mangumbaru yanaambiana yasinywe pombe hapa duniani ila yatakunywa huko peponi. Hawa watu ni wapumbavu wa hali ya juu.
Hakuna pombe ya kulewesha, kuondosha akili na kuumiza kichwa huko akherah bali kuna mvinyo {wine} safi wenye ladha kwa wanywao na si haya mangano yaliyooza na maspirit mnayonyweshana hapa duniani na kuvua nguo mbele za watu huku mkilala mitaroni na makorongoni bila kujitambua.

Baada ya utangulizi huo, nikufahamishe mkuu kuwa usione wivu allah akiwalipa waja wake watiifu kwake kwa makazi mazuri yenye kupita mito chini yake na maziwa mazuri yasiyobadilika ladha yake na wine nzuri yenye ladha kwa wanywao na maji matamu yasiyododa na wanawake wanawari wazuri waliotwaharika na hedhi, mate, shahawa, haja kubwa na ndogo na wenye mapenzi mno kwa waume zao, wewe unayaonea wivu haya? sasa utapunguza nini?.

"Je! mashukio hayo si ndio bora, au mti wa zaqquum?, hakika sisi tumeufanya mti huo kuwa ni mateso kwa madhalimu, hakika hapana vingine huo ni mti unaotoka katikati ya moto jahannam, mashada ya matunda yake kama kwamba ni vichwa vya mashetani, basi hakika hapana vingine hao watakula kutokana na mti huo na wayajaze matumbo yao, kisha hakika wana wao juu yake mchanganyiko wa maji ya moto yaliyochemka mno!, kisha hakika marejeo yao bila ya shaka ni kwenye jahannam."

Qur'an 37:62-68

Basi zingatia usluub wa Qur'an na uhudhurishe moyo wako wote kwenye hilo, hapo utagundua allah akikisifia kitu kwa uzuri basi anapea kwenye hilo na akikizungumzia kitu kibaya basi makemeo yake ni makali mno.
 
Upumbavu mtupu. Nyie ndo maana ni rahisi sana kuwarubuni mkavae mabomu na kujilipua under jihad. Vichwa vyenu vimejaa upupu. Kama mnaamini huu utumbo sio jambo la kushangaza how easily you get brainwashed
 
Inategemea itakavyokupelekesha ,kama ukinywa kisha ukaendelea na mambo yako fresh sasa hiyo dhambi inatoka wapi? Dhambi inatokuja kwa mawazo(mawazo mabaya) ,kwa maneno(maneno mabaya),Kwa vitendo na kwa kutotimiza wajibu.

Kwani Divai ni nini?
Hata kama haijasababisha matendo mabaya, ni dhambi kwasababu umeinajisi mwili uliopewa na Mwenyezi Mungu.
 
Upumbavu mtupu. Nyie ndo maana ni rahisi sana kuwarubuni mkavae mabomu na kujilipua under jihad. Vichwa vyenu vimejaa upupu. Kama mnaamini huu utumbo sio jambo la kushangaza how easily you get brainwashed
Ungejua hao vijana wa kudanganyika na upuuzi wa kujilipua na kuua watu hovyo hawapumziki kutokana na sisi kubainisha uhuni wao kila iitwayo leo usingesema, hao ni extremists na wanayoyafanya yako mbali na mafundisho ya uislamu.

Katika sifa ya waumini wanaamini vitu visivyoonekana maadam tu vimeelezwa na mola wao aliyewaumba, sisi tunaamini hayo mkuu kwasababu aliyetueleza ni mkweli kuliko wasemao kweli wote.

"Na wanapoambiwa: aminini kama walivyoamini watu, wao husema: je tuamini kama walivyoamini wapumbavu? sikilizeni! hakika wao ndio wapumbavu lakini hawajui tu."

Qur'an 2:13
 
Nyinyi wote ni potential terrorists
 
Hivi kwani Haram sio dhambi?
mkirisito yeye hana haramu wala halali wala dhambi bili uchangaya yote sehemu 1 mala yesu mala mariyamu mama wa mungu mala papa snasamehe dhambi wapo wapo tu hawajui lolote kuhusu mungu huo ndio ukweli

siku wakirisito wakajua nin maana ya haramu na dhambi hakuna atakae kunywa pombe wala nguluwe wala kuvaa vichupi barabalani wala kukesha makanisani wakipiga mayoe wala kumuita yesu mungu
 
Pombe haijawahi kuwa dhambi, au haram! Ila matendo mabaya yatokanayo na hiyo pombe sasa, ndiyo yatampeleka mtu kutenda dhambi! Na hivyo mwisho wa siku kuchukuliwa kama haram.
Katika dini za kikristu nyingi pombe siyo haram wala dhambi. Lakin kwa vile pombe huleteleza uvunjaji wa amri za Mungu, wakristu wanashauriwa (hawakatazwi) kunywa pombe. Nimekuwa na marafiki Waislaqmu wanaokunywa pombe na wasiyokunywa. Wanaokunywa pombe wakati wa kufunga husimama kabisa kunywa pombe. Huenda wana sababu ya kufanya hivyo, huenda kuna kipengele wanachotumia kunywa pombe.
 
mkirisito yeye hana haramu wala halali wala dhambi bili uchangaya yote sehemu 1 mala yesu mala mariyamu mama wa mungu mala papa snasamehe dhambi wapo wapo tu hawajui lolote kuhusu mungu huo ndio ukweli

siku wakirisito wakajua nin maana ya haramu na dhambi hakuna atakae kunywa pombe wala nguluwe wala kuvaa vichupi barabalani wala kukesha makanisani wakipiga mayoe wala kumuita yesu mungu
Ila mbinguni mnapewa 72 na vijito vya ulevi, how ironic
 
Back
Top Bottom