Naomba Kujua Pombe ni Dhambi au ni haramu? Imekatazwa na Quran au Mtume Mohamed?

Naomba Kujua Pombe ni Dhambi au ni haramu? Imekatazwa na Quran au Mtume Mohamed?

Hapa nimeshazikumbuka, nikitoka job jioni naingia zangu Safari Resort naagiza kitu moto nusu nashushia na serengeti lite 4 ba bariiiiiiid
 
Unywaji kupita kiasi(ulevi) na ulaji kupita kiasi(ulafi) huwa chanzo cha dhambi.

Zingatia kiwango(utoshelevu)..

Nb: Muujiza wa kwanza wa Yesu ulikuwa kubadili maji kuwa divai katika harusi ya Kana. (Rejea injili)
 
Kwa waislamu kitu Haram Ni kula nyama adimu tu.
Pombe tunakunywa nao Sana. Lakini pombe yenyewe iwe beer ya kiwandani. Wanzuki, komoni, boha, mchujo, ulanzi, mbege na msabe Ni Haram kwasababu zinauzwa na wamama wasio olewa.
 
Hapa unazidi kuonesha ujinga na upumbavu kama sio ungumbaru uliopitiliza. Kama mtu sio muislamu ni lazima awe mkristo? Usiwe poyoyo. Kama mtu ni mkristo lazima awe roman catholic? Warudishie waazi wako hela ya ada waliyokulipia miaka yote ya shule. Biblia hairuhushu ushoga. Na inasema kabisa mashoga wanatakiwa wauwawe. Sasa sijui ni kitu unaongea wewe zumbukuku
Yule papa ni muwakilishi wa dini gani

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.
kwa hiyo dhambi ni ulevi, sio pombe?
 
K
Hakuna pombe ya kulewesha, kuondosha akili na kuumiza kichwa huko akherah bali kuna mvinyo {wine} safi wenye ladha kwa wanywao na si haya mangano yaliyooza na maspirit mnayonyweshana hapa duniani na kuvua nguo mbele za watu huku mkilala mitaroni na makorongoni bila kujitambua.

Baada ya utangulizi huo, nikufahamishe mkuu kuwa usione wivu allah akiwalipa waja wake watiifu kwake kwa makazi mazuri yenye kupita mito chini yake na maziwa mazuri yasiyobadilika ladha yake na wine nzuri yenye ladha kwa wanywao na maji matamu yasiyododa na wanawake wanawari wazuri waliotwaharika na hedhi, mate, shahawa, haja kubwa na ndogo na wenye mapenzi mno kwa waume zao, wewe unayaonea wivu haya? sasa utapunguza nini?.

"Je! mashukio hayo si ndio bora, au mti wa zaqquum?, hakika sisi tumeufanya mti huo kuwa ni mateso kwa madhalimu, hakika hapana vingine huo ni mti unaotoka katikati ya moto jahannam, mashada ya matunda yake kama kwamba ni vichwa vya mashetani, basi hakika hapana vingine hao watakula kutokana na mti huo na wayajaze matumbo yao, kisha hakika wana wao juu yake mchanganyiko wa maji ya moto yaliyochemka mno!, kisha hakika marejeo yao bila ya shaka ni kwenye jahannam."

Qur'an 37:62-68

Basi zingatia usluub wa Qur'an na uhudhurishe moyo wako wote kwenye hilo, hapo utagundua allah akikisifia kitu kwa uzuri basi anapea kwenye hilo na akikizungumzia kitu kibaya basi makemeo yake ni makali mno.
Kwa hyo unataka ukalewee mbinguni ?....hyo kitu hamnaa. . ...w kama unaweza gida Fanya ivo .. .mashehe wenu wanawapanga msinywe kumbe wao wananywea vyumban kwako
 
K

Kwa hyo unataka ukalewee mbinguni ?....hyo kitu hamnaa. . ...w kama unaweza gida Fanya ivo .. .mashehe wenu wanawapanga msinywe kumbe wao wananywea vyumban kwako
Mbinguni hakuna kulewa ni kustarehe tu, na sisi mkuu ndio mashekhe wenyewe so ingia field usidanganywe utakufa peke yako.
 
K

Kwa hyo unataka ukalewee mbinguni ?....hyo kitu hamnaa. . ...w kama unaweza gida Fanya ivo .. .mashehe wenu wanawapanga msinywe kumbe wao wananywea vyumban kwako
sisi sio sawa na nyinyi msio hoji kila mnalo ambiwa sheikh akinywa kanywa yeye awezi simama mbele yetu akasema nyinyi mywe au msinywe tunafata maandiko tu
 
Back
Top Bottom