Naomba Kujua Pombe ni Dhambi au ni haramu? Imekatazwa na Quran au Mtume Mohamed?

Naomba Kujua Pombe ni Dhambi au ni haramu? Imekatazwa na Quran au Mtume Mohamed?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Kwa heshima kubwa naombeni mnipatie majibu kupitia vyanzo sahihi kwa kuzingatia kichwa cha habari.

Je Pombe ni dhambi au ni haramu?
Je Pombe imekatazwa na Quran tukufu ama Mtume Mohamed?

Kashfa ya aina yeyote nitaomba Moderator afute Uzi huu

Aksante Niwatakie Jumapili njema
 
Pombe haijawahi kuwa dhambi, au haram! Ila matendo mabaya yatokanayo na hiyo pombe sasa, ndiyo yatampeleka mtu kutenda dhambi! Na hivyo mwisho wa siku kuchukuliwa kama haram.
kwanza haya maneno 2 haramu na dhambi unajua maana yake na asili yake? tuanzie hapo
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kwa heshima kubwa naombeni mnipatie majibu kupitia vyanzo sahihi kwa kuzingatia kichwa cha habari.

Je Pombe ni dhambi au ni haramu?
Je Pombe imekatazwa na Quran tukufu ama Mtume Mohamed?

Kashfa ya aina yeyote nitaomba Moderator afute Uzi huu

Aksante Niwatakie Jumapili njema
kama kweli unashida ya kufahamu bila shaka hapo mtaani kwako kuna viongozi wa dini ya uwisilamu wakute watakujibu tu hapa unatafuta kujibiwa hili upate nafasi ya kutukana tumechoka na hayo matusi yenu
 
Inategemea itakavyokupelekesha ,kama ukinywa kisha ukaendelea na mambo yako fresh sasa hiyo dhambi inatoka wapi? Dhambi inatokuja kwa mawazo(mawazo mabaya) ,kwa maneno(maneno mabaya),Kwa vitendo na kwa kutotimiza wajibu.

Kwani Divai ni nini?
 
dhambi haramu nini maana ya maneno haya na wapi asili yake?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kwa heshima kubwa naombeni mnipatie majibu kupitia vyanzo sahihi kwa kuzingatia kichwa cha habari.

Je Pombe ni dhambi au ni haramu?
Je Pombe imekatazwa na Quran tukufu ama Mtume Mohamed?

Kashfa ya aina yeyote nitaomba Moderator afute Uzi huu

Aksante Niwatakie Jumapili njema
Kwenye chupa ya kilevi chochote zimeandikwa......drink responsible...ama haiuzwi below 18 years

Pombe sio dhambi....dhambi ni Kwa yeyote ambae atakiuka utaratibu above...

All great thinker wamewai kutumia ulevi wowote bangi au pombe....

Excuse for those who abuse drinking responsible.......
 
Mangumbaru yanaambiana kuwa yatapewa mito ya wine na mabinti bikra 72. Hivyo mangumbaru yanaambiana yasinywe pombe hapa duniani ila yatakunywa huko peponi. Hawa watu ni wapumbavu wa hali ya juu.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kwa heshima kubwa naombeni mnipatie majibu kupitia vyanzo sahihi kwa kuzingatia kichwa cha habari.

Je Pombe ni dhambi au ni haramu?
Je Pombe imekatazwa na Quran tukufu ama Mtume Mohamed?

Kashfa ya aina yeyote nitaomba Moderator afute Uzi huu

Aksante Niwatakie Jumapili njema

Pombe ina madhara mengi sana na matukio mengi yasiyopendeza

Nuhu alikunywa pombe akavua nguo mwenyewe kisha akaishia kumlaani mwanae aliyeuona uchi wake

Leo watu wanakunywa pombe wanaishia kuzini na mabinti zao.....
 
Back
Top Bottom