Pombe ni kilevi cha zamani sana ukisoma kwenye historia na kwenye Quran pombe imekatazwa mara tatu kwasababu maswahaba walikuwa wamedumbukia kwenye ulevi uliopitiliza ikaja katazo la kwanza likisemaWadau hamjamboni nyote?
Kwa heshima kubwa naombeni mnipatie majibu kupitia vyanzo sahihi kwa kuzingatia kichwa cha habari.
Je Pombe ni dhambi au ni haramu?
Je Pombe imekatazwa na Quran tukufu ama Mtume Mohamed?
Kashfa ya aina yeyote nitaomba Moderator afute Uzi huu
Aksante Niwatakie Jumapili njema
Exactly !! " Msinywe pombe hakika iyo pombe ni ufunguo wa kila Shari"Pombe haijawahi kuwa dhambi, au haram! Ila matendo mabaya yatokanayo na hiyo pombe sasa, ndiyo yatampeleka mtu kutenda dhambi! Na hivyo mwisho wa siku kuchukuliwa kama haram.
Mkuu sasa ww unatafuta ugomvi nyie wenye akili ndio mmeruhusu homosexuality kwenye dini yenu ina hata papa ataolewa karibuni maana amebariki hilo swala wakipitisha lazima nichukue vimwari nipige mzigo maana watakuwa hawajaguswa bado ila turudi kwenye hoja tuache kejeli na dharauMangumbaru yanaambiana kuwa yatapewa mito ya wine na mabinti bikra 72. Hivyo mangumbaru yanaambiana yasinywe pombe hapa duniani ila yatakunywa huko peponi. Hawa watu ni wapumbavu wa hali ya juu.
Hapa unazidi kuonesha ujinga na upumbavu kama sio ungumbaru uliopitiliza. Kama mtu sio muislamu ni lazima awe mkristo? Usiwe poyoyo. Kama mtu ni mkristo lazima awe roman catholic? Warudishie waazi wako hela ya ada waliyokulipia miaka yote ya shule. Biblia hairuhushu ushoga. Na inasema kabisa mashoga wanatakiwa wauwawe. Sasa sijui ni kitu unaongea wewe zumbukukuMkuu sasa ww unatafuta ugomvi nyie wenye akili ndio mmeruhusu homosexuality kwenye dini yenu ina hata papa ataolewa karibuni maana amebariki hilo swala wakipitisha lazima nichukue vimwari nipige mzigo maana watakuwa hawajaguswa bado ila turudi kwenye hoja tuache kejeli na dharau
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Sisi waislam hatusumbuki na ww na wanaotukejeli kwani Allah keshatuhusia...Mangumbaru yanaambiana kuwa yatapewa mito ya wine na mabinti bikra 72. Hivyo mangumbaru yanaambiana yasinywe pombe hapa duniani ila yatakunywa huko peponi. Hawa watu ni wapumbavu wa hali ya juu.
Hakuna pombe ya kulewesha, kuondosha akili na kuumiza kichwa huko akherah bali kuna mvinyo {wine} safi wenye ladha kwa wanywao na si haya mangano yaliyooza na maspirit mnayonyweshana hapa duniani na kuvua nguo mbele za watu huku mkilala mitaroni na makorongoni bila kujitambua.Mangumbaru yanaambiana kuwa yatapewa mito ya wine na mabinti bikra 72. Hivyo mangumbaru yanaambiana yasinywe pombe hapa duniani ila yatakunywa huko peponi. Hawa watu ni wapumbavu wa hali ya juu.
Upumbavu mtupu. Nyie ndo maana ni rahisi sana kuwarubuni mkavae mabomu na kujilipua under jihad. Vichwa vyenu vimejaa upupu. Kama mnaamini huu utumbo sio jambo la kushangaza how easily you get brainwashedHakuna pombe ya kulewesha, kuondosha akili na kuumiza kichwa huko akherah bali kuna mvinyo {wine} safi wenye ladha kwa wanywao na si haya mangano yaliyooza na maspirit mnayonyweshana hapa duniani na kuvua nguo mbele za watu huku mkilala mitaroni na makorongoni bila kujitambua.
Baada ya utangulizi huo, nikufahamishe mkuu kuwa usione wivu allah akiwalipa waja wake watiifu kwake kwa makazi mazuri yenye kupita mito chini yake na maziwa mazuri yasiyobadilika ladha yake na wine nzuri yenye ladha kwa wanywao na maji matamu yasiyododa na wanawake wanawari wazuri waliotwaharika na hedhi, mate, shahawa, haja kubwa na ndogo na wenye mapenzi mno kwa waume zao, wewe unayaonea wivu haya? sasa utapunguza nini?.
"Je! mashukio hayo si ndio bora, au mti wa zaqquum?, hakika sisi tumeufanya mti huo kuwa ni mateso kwa madhalimu, hakika hapana vingine huo ni mti unaotoka katikati ya moto jahannam, mashada ya matunda yake kama kwamba ni vichwa vya mashetani, basi hakika hapana vingine hao watakula kutokana na mti huo na wayajaze matumbo yao, kisha hakika wana wao juu yake mchanganyiko wa maji ya moto yaliyochemka mno!, kisha hakika marejeo yao bila ya shaka ni kwenye jahannam."
Qur'an 37:62-68
Basi zingatia usluub wa Qur'an na uhudhurishe moyo wako wote kwenye hilo, hapo utagundua allah akikisifia kitu kwa uzuri basi anapea kwenye hilo na akikizungumzia kitu kibaya basi makemeo yake ni makali mno.
Hata kama haijasababisha matendo mabaya, ni dhambi kwasababu umeinajisi mwili uliopewa na Mwenyezi Mungu.Inategemea itakavyokupelekesha ,kama ukinywa kisha ukaendelea na mambo yako fresh sasa hiyo dhambi inatoka wapi? Dhambi inatokuja kwa mawazo(mawazo mabaya) ,kwa maneno(maneno mabaya),Kwa vitendo na kwa kutotimiza wajibu.
Kwani Divai ni nini?
Ungejua hao vijana wa kudanganyika na upuuzi wa kujilipua na kuua watu hovyo hawapumziki kutokana na sisi kubainisha uhuni wao kila iitwayo leo usingesema, hao ni extremists na wanayoyafanya yako mbali na mafundisho ya uislamu.Upumbavu mtupu. Nyie ndo maana ni rahisi sana kuwarubuni mkavae mabomu na kujilipua under jihad. Vichwa vyenu vimejaa upupu. Kama mnaamini huu utumbo sio jambo la kushangaza how easily you get brainwashed
Huu ni uongo! Yesu hakuwa kubariki pombe. kama unazungumzia ile habari ya harusi kana.Pombe ni kama chakula ila usizidishe maana hata chakula ukizidisha ni kosa kwani utavimbiwa. Yesu aliruhusu pombe kwa kuibariki.
Nyinyi wote ni potential terroristsUngejua hao vijana wa kudanganyika na upuuzi wa kujilipua na kuua watu hovyo hawapumziki kutokana na sisi kubainisha uhuni wao kila iitwayo leo usingesema, hao ni extremists na wanayoyafanya yako mbali na mafundisho ya uislamu.
Katika sifa ya waumini wanaamini vitu visivyoonekana maadam tu vimeelezwa na mola wao aliyewaumba, sisi tunaamini hayo mkuu kwasababu aliyetueleza ni mkweli kuliko wasemao kweli wote.
"Na wanapoambiwa: aminini kama walivyoamini watu, wao husema: je tuamini kama walivyoamini wapumbavu? sikilizeni! hakika wao ndio wapumbavu lakini hawajui tu."
Qur'an 2:13
sisi waisilamu lini tukaweka uzi wa kutukanaWabainishie tu ukweli lakini usiwatukane mkuu.
mkirisito yeye hana haramu wala halali wala dhambi bili uchangaya yote sehemu 1 mala yesu mala mariyamu mama wa mungu mala papa snasamehe dhambi wapo wapo tu hawajui lolote kuhusu mungu huo ndio ukweliHivi kwani Haram sio dhambi?
AiseeKuna watu watakutana na mito ya pombe ikitiririka!! Yaani unakunywa mpaka unaoga kabisa humo humo!
Katika dini za kikristu nyingi pombe siyo haram wala dhambi. Lakin kwa vile pombe huleteleza uvunjaji wa amri za Mungu, wakristu wanashauriwa (hawakatazwi) kunywa pombe. Nimekuwa na marafiki Waislaqmu wanaokunywa pombe na wasiyokunywa. Wanaokunywa pombe wakati wa kufunga husimama kabisa kunywa pombe. Huenda wana sababu ya kufanya hivyo, huenda kuna kipengele wanachotumia kunywa pombe.Pombe haijawahi kuwa dhambi, au haram! Ila matendo mabaya yatokanayo na hiyo pombe sasa, ndiyo yatampeleka mtu kutenda dhambi! Na hivyo mwisho wa siku kuchukuliwa kama haram.
Ila mbinguni mnapewa 72 na vijito vya ulevi, how ironicmkirisito yeye hana haramu wala halali wala dhambi bili uchangaya yote sehemu 1 mala yesu mala mariyamu mama wa mungu mala papa snasamehe dhambi wapo wapo tu hawajui lolote kuhusu mungu huo ndio ukweli
siku wakirisito wakajua nin maana ya haramu na dhambi hakuna atakae kunywa pombe wala nguluwe wala kuvaa vichupi barabalani wala kukesha makanisani wakipiga mayoe wala kumuita yesu mungu