Naomba Kujua Pombe ni Dhambi au ni haramu? Imekatazwa na Quran au Mtume Mohamed?

Achana na mavazi. Watu walitembea uchi kitambo na hadi leo wapo watu wanatembea utupu huko Amazon (misitu ya Brazil na Argentina).
 
Wewe unajua nini kuhusu mungu!? Umeaminishwa upumbavu afu unajifanya mjuaji kumbe bwege mtozeni tu.
 
Wewe unajua nini kuhusu mungu!? Umeaminishwa upumbavu afu unajifanya mjuaji kumbe bwege mtozeni tu.
wewe tukana tu lakini nyiyi halamu na halali mnachangaya kwenye kapu 1 uwezi kumuabudi kiumbe alie enda jando na kuvaa nepi na kunyonyo matiti ya mama na kwenda kuungama dhambi kwa padiri huo ndio ukweli yesu hawezi kuwa mungu kwa watu wanao mjua mungu labda kwa ndondocha kama wewe na ukifa kwa imani hiyo tegemea kwenda kuishi moto tu
 
Achana na mavazi. Watu walitembea uchi kitambo na hadi leo wapo watu wanatembea utupu huko Amazon (misitu ya Brazil na Argentina).
walitemba uchi sababu awakuwa na nguo leo kila kona nguo mbona amtembei kwa miguu kama zamani na kuishi kwenye mapangu ushenzi ni zaidi ya ukimwi
 
Upumbavu mtupu. Nyie ndo maana ni rahisi sana kuwarubuni mkavae mabomu na kujilipua under jihad. Vichwa vyenu vimejaa upupu. Kama mnaamini huu utumbo sio jambo la kushangaza how easily you get brainwashed
wewe unajiariji tu kitendo chenu cha kumabudu yesu na mamake huo ni ukafiri ulio tukuka mwisho wa siku ni motoni kuanzia pale mnapo kufa tangu lini yesu akawa mungu kama sio ushirikina nn?
 
Hapa anaongelewa mlevi, je usipolewa?
 
Hapo umeongelea ulevi, je mtu asipolewa?
 
Ukiwa unareply comments za watu jitahidi kuandika vitu vinavyoeleweka. Hauongoi na wapumbavu wenzio wa huko kijiweni kwenu.
umeelewa vizuli tu unajitoa akili tu lakini ukweli umekufikia
 
Vipi kuhusu ile mito ya pombe tuliyoahidiwa kuikuta peponi?
Pombe iwe dhambi dunia halafu ihalalishwe peponi
 
Pombe, nguruwe sio haramu. Wanadamu wanaanua tu kuvifanya vitu hivi kuwa haramu kwa sababu zao za kihistoria. Usikubali utumwa huu kuwa huru!
 
Mume wenu anathibitisha
Yeremia 3:14

Rudini, enyi watoto wenye kuasi, asema BWANA; maana mimi ni mume wenu;

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Upumbavu mtupu. Nyie ndo maana ni rahisi sana kuwarubuni mkavae mabomu na kujilipua under jihad. Vichwa vyenu vimejaa upupu. Kama mnaamini huu utumbo sio jambo la kushangaza how easily you get brainwashed
Mumeo anakutafuta huko
Yeremia 3:14

Rudini, enyi watoto wenye kuasi, asema BWANA; maana mimi ni mume wenu;

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…