Naomba Kujua Pombe ni Dhambi au ni haramu? Imekatazwa na Quran au Mtume Mohamed?

Hapa nimeshazikumbuka, nikitoka job jioni naingia zangu Safari Resort naagiza kitu moto nusu nashushia na serengeti lite 4 ba bariiiiiiid
 
Unywaji kupita kiasi(ulevi) na ulaji kupita kiasi(ulafi) huwa chanzo cha dhambi.

Zingatia kiwango(utoshelevu)..

Nb: Muujiza wa kwanza wa Yesu ulikuwa kubadili maji kuwa divai katika harusi ya Kana. (Rejea injili)
 
Kwa waislamu kitu Haram Ni kula nyama adimu tu.
Pombe tunakunywa nao Sana. Lakini pombe yenyewe iwe beer ya kiwandani. Wanzuki, komoni, boha, mchujo, ulanzi, mbege na msabe Ni Haram kwasababu zinauzwa na wamama wasio olewa.
 
Yule papa ni muwakilishi wa dini gani

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.
kwa hiyo dhambi ni ulevi, sio pombe?
 
K
Kwa hyo unataka ukalewee mbinguni ?....hyo kitu hamnaa. . ...w kama unaweza gida Fanya ivo .. .mashehe wenu wanawapanga msinywe kumbe wao wananywea vyumban kwako
 
K

Kwa hyo unataka ukalewee mbinguni ?....hyo kitu hamnaa. . ...w kama unaweza gida Fanya ivo .. .mashehe wenu wanawapanga msinywe kumbe wao wananywea vyumban kwako
Mbinguni hakuna kulewa ni kustarehe tu, na sisi mkuu ndio mashekhe wenyewe so ingia field usidanganywe utakufa peke yako.
 
K

Kwa hyo unataka ukalewee mbinguni ?....hyo kitu hamnaa. . ...w kama unaweza gida Fanya ivo .. .mashehe wenu wanawapanga msinywe kumbe wao wananywea vyumban kwako
sisi sio sawa na nyinyi msio hoji kila mnalo ambiwa sheikh akinywa kanywa yeye awezi simama mbele yetu akasema nyinyi mywe au msinywe tunafata maandiko tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…