Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,577
- 18,774
.Ninaongea by experience mimi ni marine engineer katika cooling tunatumia sea water na fresh water
Iv unaijua sea water katika corrosio?
Watu wa magar wanatakiwa wabadilike kunakitu kinaitwa cathodic protection hutumika kwaajili ya kuzuia kutu hata kama chuma kimezamishwa kwenye acid hakiwezi kupata kutu
Kwa ufupi pitia electrochemical serie ndo utajua namna ambavyo maji yanaweza kutumika as coolant bila matatizo
Hakuna anaekataa kuwa maji hayawezi tumika kupoza injini, in principle, mfumo wa kupoza in mmoja ila matumizi yanatofautiana kutokana na mazingira. Hata sisi binadamu tunatumia mfumo huo huo wa 'homeostasis' lakini badala ya maji tunatumia damu.
Pia usisahau kuwa freezing point ya coolant ni kama −37 °C hivi, kuna maeneo duniani temperature inashuka mpaka − 10°C wakati wa winter. Sasa we weka maji yako uone kama hiyo radiator haija pasuka vipande vipande.