Naomba kujua Tabia za wanawake wa kijita

U nailed it mkuu, jita ili ummudu inabidi uwe kiburi na wewe usiwe mlendamlenda kama watoto wa dar, moto peleka haswaa maana wanapenda sn mshedede, mengine kawaida
 
Ghaaiii wanapenda ndumba mtu wa pwani akasome, utakuwa msukule haujafa nakwambia keshokutwa tu utaambiwa mama yako ni mchawi na hakika utaamini na utajitenga na familia yako yoote ugeukie kwa wajita
One more thing, hawanaga aibu kuzaa na wanaume wengi, wanapenda kuzaa ila ujue mkizinguana leo, keshokutwa ana mimba ya mwingine na mwingine vivyo hivyo
 
Pale Musoma nyumba nyingi ni za akina mama kwanini....wanaume wamekufa wote.
Wajita beki hazikabi pia
Washirikina sana wajita, tumekuwa nao ila jamii nyingi za mkoa wa Mara zinaogopa kuoana na wajita, wajita wanaoana wenyewe japo kwa uchache wapo wanaolewa na makabila mengine ndani ya mkoa wa mara, makabila ya mikoa mingine ndo wanajikutaga wameyatimba kwa wajita sana maana hawawajui sana, mjita hata km amesoma ngao yake kubwa ni shirki
 
Hili la uchawi nimeshuhudia.
La kuzaa hovyo nimeshuhudia.
 
dooh sa itakuwaje?
wakurya je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…