Naomba kujua Tabia za wanawake wa kijita

Naomba kujua Tabia za wanawake wa kijita

Washirikina sana wajita, tumekuwa nao ila jamii nyingi za mkoa wa Mara zinaogopa kuoana na wajita, wajita wanaoana wenyewe japo kwa uchache wapo wanaolewa na makabila mengine ndani ya mkoa wa mara, makabila ya mikoa mingine ndo wanajikutaga wameyatimba kwa wajita sana maana hawawajui sana, mjita hata km amesoma ngao yake kubwa ni shirki
Hakuna mjita anaeoa mjita labda mjita wa kuja
 

Attachments

  • Screenshot_20250320_083449~2.jpg
    Screenshot_20250320_083449~2.jpg
    66.3 KB · Views: 27
  • Screenshot_20250320_083501~2.jpg
    Screenshot_20250320_083501~2.jpg
    51.6 KB · Views: 35
  • Screenshot_20250320_083518~2.jpg
    Screenshot_20250320_083518~2.jpg
    79.2 KB · Views: 34
Wasukuma Wanapenda sana mambo ya jadi,ukiwa mtoto wa mama uchelewi kutolewa msukule but Wana utii heshima na adabu
Kiu kweli kwasasa hakuna kabila la kuoa ambalo ni la kuaminika!zamani walipewa chapuo wabena!Hadi ukiwa kwenye gari unaenda huko kusini Mzee anakubwatukia "eti kijana unaenda kuoa"

Lakini Sasa hivi leo ukijichanganya tu imekula kwako mazima!!!

Hila,Sanaa,ujanja ujanja,mdomo,mashindano,kisasi hasta Cha miaka kumi!anakimbuka kibao kimoja anasahau nyumba,dela,chipsi n.k!!

Suluhidho ni nini!!?

Ondoa fikra za umilele was ndoa Hadi Hadi kifo kikutenganishe!Ondoa hiyo kansa ya "Hadi kifo kikutenganishe nae!utakufa kweli!!Cha msingi nini!!?Hadi pale utakapoona tulipofika ni mwisho hakuna jipya tena!unaoa tena unamwacha pale !akiamua kuolewa aolewe akiamua kukaa akae akiamua kuhama ahame akiamua kubeba watoto abebe akiamua kukuachia akuachie kuliko kuvumilia mtu mliekutana ukubwani halafu umfanye wa milele!!Big NO!

Akili kumkichwa!
 
Back
Top Bottom