The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Binti ujifunza kwa maanaNa kama mama yake anapenda vijana wadogo wadogo hasa wanafunzi wa sekondari Ina maana na mabinti watakua hivyo hivyo!!?nauliza tu man!
Binti ujifunza kwa maanaNa kama mama yake anapenda vijana wadogo wadogo hasa wanafunzi wa sekondari Ina maana na mabinti watakua hivyo hivyo!!?nauliza tu man!
Umepotea Sana brother nice to meet you again..Ukimzingua anakuzingua.
Usitarajie umpige kofi aanze kuangua kilio. Mnazichapa mpaka kieleweke.
Hahaha totio la kiume linabinua kifua na kiuno mbele ya mamake na kikaptula kifupiii. Sasa unajiuliza hili toto la watu vipiWala urojo na chips, wazee wa vikaptula na kubinua viuno, ni zaidi ya wavivu
I totally agree with uKabla haujaamua kuoa sikiliza kwanza wimbo wa Luck dude "it's not easy"
yeghoo 😂Hawa ni ndugu zangu na nawapenda sana.
Lakini sisi wenyewe tulikua tukikaa na wazee wanatuambia, kama inawezekana tuoe makabila mengine.
In a nutshell,
1. Wanabonga sana. SAAANA!. Yaani mdomo uko mbele kuliko komwe!.
2. Kweli wanapenda kusukumiwa mfenenge, kwaio kama kweli gari yako kwenye mlima hua inachemsha, andaa handkerchief maana si haba utasaidiwa.
3. Umbea !
LAKINI sio mabaya tu, hata mazuri wanayo,
1. Wanavumilia sana kwenye shida
2. Wana upendo hasa kwa wazee wako na watoto.
3. Heshima debe, kama unapenda kupigiwa magoti, utapigiwa hadi uzeeni.
All in all, ili utoboe na mwanamke wa kijita lazma uwe mwanaume kwelikweli mwenye amri na msimamo, bora uonekane una kiburi lakn heshima yao utaipata kwa nguvu.
NB: additional, tulivokua wadogo tulikua tunaambiwada mzuri wa kutafta wachumba n kipindi cha kipupwe ambacho watu wanaandaa mashamba, kwaio unakaa njiani uone huyo mpendwa wako akitoka shambani before hajaenda ziwani kuoga. Akipita angalia miguu, kama imepauka kama mbute, kimbia spidi kubwa, inasemekana wa hvo hawavumilii shida. Lakini kama inameremeta japo haijaoshwa, weka makazi. (SINA PROOF)
M mkuu k ama wewe sio mjita basi usioe Wala kuolewa na mjita vinginevyo oa au olewa na mjita utakuja unipe mrejeshoFafanua mkuu tupate uelewa
Sasa mkuu, hapo ulipo huambiliki wala husikii, ukiambiwa ni wa hovyo utamwacha kweli? Mkuu wewe beba tu, kila mtu na life lake. Kwa sasa hakuna cha kabila, kila kona moto unafuka. Mkiwezana mnaishi mkishindwana basi mnatemna maisha hayataishia hapo. Kwa sasa na ulivyoandika tunajua umechanganyikiwa na mambo ya 6x6 ila ndoa ni zaidi hizo mambo.Wakuu nipokisiwani ukanda wa ujitani,naomba nikili wazi kwa bongo bongo kama hujawai umana na penzi la kijita wewe Bado sana,wakuu hizi jita's ladies ni mtu na nusu,zinajua si kitoto
Wakuu kunamtoto wa kijita nimemuelewa sana,naplan awe my dear wife.
Wakuu nipen zile code za ndani kabisa,maana nayoyasikia adi nawaogopa
Wakuu nipeni za juu juu nisije ria huko baadae,karibuni
Wewe Unaufahamu ukweli umeamua kumdanganya. Mimi namwambia WAJITA OGOPA KAMA UKOMA.Asee hongera sana mimi hao nawafahamu kwakuwa ninauzoefu nao.
Ndani ya mkoa wa mara nadhani ukikutana na wazee wa zamani sio wazee aakijita watakushauri usioe hilo kabila kwa sababu zamani nasema zamani na sio sasa walikuwa na tabia mbili konki sana.
1. Mtapendana sana lakini mkianza kujipata lazima akutangulize kwa sir God.
2. Kwenye mdomo mamaaaaa kama redio mbao anaweza kuongea asbhuhi mpaka jioni.
Lakini kwa upande wa heshima wako poa sana ila wanapenda jigi jigi sana nakumbka kipindi hicho nyasatu wangu alitugonganisha mimi na jamaa angu na wala hakuona shida kila moja anajilia kwa zamu.
Tabia zingne ni zinafanana tu.
Ila ushauri wangu.
Hata watoto wa familia moja wanazaliwa na kila moja anakuwa na tabia yake hivo usiache kuoa kisa tabia ya baadhi ww beba chombo upewe mauno ya kijita mzee.
Na usisahau harusi ni ya kijadi hata kama mtafunga ndoa kanisani lakn home lazma tufanye yetu kuonesha wnaaukoo kuwa nyaboko anaolewa
Kwa hiyo akuoe wewe?Usidhubutu kuoa mjita,utanishukuru au utaikumbuka komenti yangu baadae.
Ukimgecha anakujecha yeghoWakuu nipokisiwani ukanda wa ujitani,naomba nikili wazi kwa bongo bongo kama hujawai umana na penzi la kijita wewe Bado sana,wakuu hizi jita's ladies ni mtu na nusu,zinajua si kitoto
Wakuu kunamtoto wa kijita nimemuelewa sana,naplan awe my dear wife.
Wakuu nipen zile code za ndani kabisa,maana nayoyasikia adi nawaogopa
Wakuu nipeni za juu juu nisije ria huko baadae,karibuni
Wakuu nipokisiwani ukanda wa ujitani,naomba nikili wazi kwa bongo bongo kama hujawai umana na penzi la kijita wewe Bado sana,wakuu hizi jita's ladies ni mtu na nusu,zinajua si kitoto
Wakuu kunamtoto wa kijita nimemuelewa sana,naplan awe my dear wife.
Wakuu nipen zile code za ndani kabisa,maana nayoyasikia adi nawaogopa
Wakuu nipeni za juu juu nisije ria huko baadae,karibuni
Wewe ni mjita??Kwa hiyo akuoe wewe?