RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Ulikosea sana!na umetuaibisha wanaume,maisha yenyewe Yako wapi Hadi kumkataa mtu aliekuelewa na Mungu anamleta kwako Kila siku!!?unajua maisha ya uzee yanavyowatesa wazee Kila siku Kwa upweke na kunyanyapaliwa!!?uanajua ni nani atakua kando yako akikubembeleza uzeeni!!?Aiseee iliwai kunitokea kwa ka demu kajita hmmm alinitesa nafsi manina yule.mi niliomba gemu tu nikapewa kumbe kameelewa.demu alikua anatoka mbali na ninapoishi ila hata sijamuita naskia saa sita usiku au saba nagongewa mlango hicho ndani afu unakuta ndo nimechoka kweli.mtu sijamuita unashtukia meseji saa 4 usiku niko njiani nakuja...namwambia wewe sijakuita...kinajibu nakuja tu.ilifika wakati nakimbia geto.kuna siku aliniandikia meseji nakuja hee nkatoroka geto nkaenda kulala gesti kalipigwa baridi usiku wote hapo ndo nkawa nimemfukuza,nshabutua makofi sana wapi hajawai toa ata chozi ndo kwanza ananiambia utaniulia humu mpaka naogopa.ni kimbembe nimeongea machache.ila show anaupiga mwingi...yani kama mchezaji wa leo mo salah au mbape
Ni Bora mwanamke alieniganda nikampa hasta maisha walau Kwa uchache kuliko kumtelekeza!nitamtekeza baada ya kuonyesha kiburi na dharau tu!lakini sio kumwepuka kisa kaniganda!!
Maisha ya sisi Mme ni magumu mno na yenye mstaiabali wa mashaka Kiasi kwamba hatupaswi kumtendea mtu hivyo labda aharibu mwenyewe baada ya kushiba!