Ven26
JF-Expert Member
- Jan 28, 2014
- 1,071
- 2,279
Na zaidi ugomvi wao wanaufanya kwasababu wanaaminia kwenye urogi sana! Yaani wanapenda kurogaWewe Unaufahamu ukweli umeamua kumdanganya. Mimi namwambia WAJITA OGOPA KAMA UKOMA.
Washirikina sana, Waongeaji sana, wajuaji sana, wajivuni sana, wambea sana, wagomvi sana, sijui niishie wapi lakini unaweza kujitoa ufahamu ukajaribu ila kama huna pesa utajuta kukutana naye.