Naomba kujua Tabia za wanawake wa kijita

Naomba kujua Tabia za wanawake wa kijita

Asanteni wakuu,dondoo mlizonipa ni mule mule nilizopewa na baadhi nimejionea,nimefata ushauri wenu
 
Hmm mtu hujamuita huyo.mkuu yani akija leo,kesho anakupumzisha...kesho kutwa ka meseji hako saa 6 usiku nakuja na hapingingiki we tulia utaskia mlango umegongwa.sa huruma zangu nikawa nampokea asilale nje maana anatoka mbali,ndani mixer makofi mawili kumtisha asiwe anakuja huh yani kofi nikama nimempapasa tu.bro mi sio wakupiga wanawake kabisa ila huyu hmmmm alinishinda mpaka nikakimbia geto.ngoja nikuongezee nyama kidogo siku nilipomkimbia akalala nje.nilikua na laki 3 mfukoni huo usiku niliotoroka geto nikaenda nikalewa na mdogo wangu nikalala gesti huh asubui nkajikuta na elfu saba tu.hapo hicho ki dada kila dakika meseji ananitumia nikaikimbia simu nayo.nkatishiwa ana mimba yangu na ataniroga.sijui nilimpaje mimba na kondom nilikua navaa.nkikusimulia hichi kisa sema navunja vunja vipande.kuna demu mtaani ile siku natoroka geto alinikuta nimekaa sehem mwenyew akanihoji mbona upo hapo mwenyewe nikampa kisa cha kukimbia kwangu si akataka kununua kesi eti nimpe namba ya huyo mjita wapambane kwa simu nkakataa ila namba yangu akachukua..basi kama siku mbili demu akaniomba gemu tena kwakunisimanga eti labda sio mwanaume,yani nataka nikupe uchi unakataa hmm nkaona madharau haya nkamwambia twende gest manzi akaja.ikapigwa show bao la kwanza hilo.basi kabla ya bao la pili manzi akasema anapenda kugongwa kwa nguvu afu kwa fujo yaaani ile pa pa pa paaa pa.mwamba sinikaaminia eti nataka nimfanyie anavyotaka nikaanza izo pa pa pa pa kainama sasa hapo napiga kwa nguvu fasta fasta....katikati ya show nilipata pararalizi la ajabu.yani upande wa kushoto kuanzia utosi mpaka mguu wa kushoto.nikaanguka huko kama kondoo.umenikumbusha ya mjita hichi kisa siwez kusahau kamwe
anzisha uzi wa hiki kisa
 
Ulikosea sana!na umetuaibisha wanaume,maisha yenyewe Yako wapi Hadi kumkataa mtu aliekuelewa na Mungu anamleta kwako Kila siku!!?unajua maisha ya uzee yanavyowatesa wazee Kila siku Kwa upweke na kunyanyapaliwa!!?uanajua ni nani atakua kando yako akikubembeleza uzeeni!!?

Ni Bora mwanamke alieniganda nikampa hasta maisha walau Kwa uchache kuliko kumtelekeza!nitamtekeza baada ya kuonyesha kiburi na dharau tu!lakini sio kumwepuka kisa kaniganda!!

Maisha ya sisi Mme ni magumu mno na yenye mstaiabali wa mashaka Kiasi kwamba hatupaswi kumtendea mtu hivyo labda aharibu mwenyewe baada ya kushiba!
Bro usiwasemee wanaume wengine eti nimewaangusha!tatizo ni moyo ndo haukumtaka.wazungu wakasema one man‘s meat is another man‘s poison.we jitafutie wakung‘ang‘ania mimi hapana.
 
Siku hizi unaoa TU lakini hakuna umilele wa kifikra kwamba lazima uzeeke nae kama Hana sifa za kuzeeka nae!!ukiona mambo mengi unajiengua kisanii bila kelele Wala mahakama kisela tu!
Ila mmejitahidi kuwaponda aiseee.!! 😹😹

Haya mumpe ushauri sasa aoe kabila gani? Maana makabila yote mnawasema.!!
TU
 
Siku hizi unaoa TU lakini hakuna ukulele was kifikra kwamba lazima uzeeke name kama Hana sofa za kuzeeka nae!!ukiona mambo mengi unajiengua kisanii bila kelele Wala mahakana kisela tu!

TU
Mhmm!! Umenipa shida kusoma na kuelewa ulichomaanisha..!!
 
Kuna Mjita mmoja ana jisifia huyo...ninge share huu uzi kwake, ila basi!!
 
Back
Top Bottom