GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
anatafta kuonekana anapendwa kinguvuKuna Mtu Mmoja kwa mbali anataka Kutuchezea Akili Watanzania akidhani ni 'hamnazo' wakati wenye Akili tumeshamshtukia kuwa ni Mdau wa Utamaduni wa Mwafrika ambao kwa uelewa wangu kwa 85% unahusisha mno Uchawi ( Ushirikina ) hivyo basi anataka Kulilazimisha hili Ubongoni mwetu ili awe Huru nalo na safari ya 2021 hadi 2025 na ile ya 2025 hadi 2030 iwe njema na kusiwe na matatizo ( makwamo ) yoyote.
Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
Anaharibu sana itatugawa Watanzania!!!anatafta kuonekana anapendwa kinguvu
Members wenye Akili tu ambazo hauna.Unataka Nani akuiibu swali lako wakati wewe unajua Kila kitu.
Hii kitu Baba wa Taifa alilifutilia mbali ajabu vyama vya siasa na viongozi wa dini wako kimya tu hata ndani ya chama chake inabidi wamkemee kwa kweli.anavuka mipaka.Kuna Mtu Mmoja kwa mbali anataka Kutuchezea Akili Watanzania akidhani ni 'hamnazo' wakati wenye Akili tumeshamshtukia kuwa ni Mdau wa Utamaduni wa Mwafrika ambao kwa uelewa wangu kwa 85% unahusisha mno Uchawi ( Ushirikina ) hivyo basi anataka Kulilazimisha hili Ubongoni mwetu ili awe Huru nalo na safari ya 2021 hadi 2025 na ile ya 2025 hadi 2030 iwe njema na kusiwe na matatizo ( makwamo ) yoyote.
Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
Na nasikitika Watanzania wengi hatulioni tatizo hili tulikemee kwa pamoja na lisizoeleke kwani Waliopita hawakuwa Wajinga ( Dunduna ) na Wapumbavu ( Popoma ) kuliondoa.Naunga mkono hoja
GENTAMYCINE siliafiki na likemewe upesi sana na Watanzania wote wenye Akili Kubwa kwani ukiliangalia kwa Darubini Kali lina 'impact' mbaya kwa Kizazi cha sasa, kijacho na hata kwa Ustawi mzima wa Mama Tanzania na Maadili yake.Hii kitu Baba wa Taifa alilifutilia mbali ajabu vyama vya siasa na viongozi wa dini wako kimya tu hata ndani ya chama chake inabidi wamkemee kwa kweli.anavuka mipaka.
Nakuunga mkono kwa juhudi zako kuona huu ujinga huijirudii tena.jambo la aibu sana na hili huwa linatumiwa na wanasiasa waliofilisika kimawazo na kisiasa.Sijui Baba wa Taifa ana hali gani huko aliko.Big up mkuu kwa kuliona hilo.GENTAMYCINE siliafiki na likemewe upesi sana na Watanzania wote wenye Akili Kubwa kwani ukiliangalia kwa Darubini Kali lina 'impact' mbaya kwa Kizazi cha sasa, kijacho na hata kwa Ustawi mzima wa Mama Tanzania na Maadili yake.
Hili ni Tusi sana kwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu ( Poti na Mwetu wangu wa Kizanaki ) Julius Kambarage Nyerere.Nakuunga mkono kwa juhudi zako kuona huu ujinga huijirudii tena.jambo la aibu sana na hili huwa linatumiwa na wanasiasa waliofilisika kimawazo na kisiasa.Sijui Baba wa Taifa ana hali gani huko aliko.Big up mkuu kwa kuliona hilo.
Members wenye Akili tu ambazo
Nilidokezwa na Mzanzibari Mmoja hivi.Mama atakuwa ni mshirikina hasa