Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Kuna nafasi au vyeo unakufa navyo, mfano Mwalimu, Balozi, Jaji, Rais, Makamu na waziri mkuu.Kuna tatizo kidogo kwenye kiswahili maana kwa viongozi hata wakimaliza mda wao wanatanguliza vyeo walivotumia na kumalizia mstaafu.
mfano raisi mstaafu,waziri mstaafu.
ila kwa wengine ijalishi ni polisi,mwalimu,dokta wanatanguliziwa mstaafu wala sio cheo alichotumikia ili linakuwaje
mfano wastaafu wa east afrika
Si sawa.Yote nisawa
Tofauti ni ipi?Si sawa.
Unajuwa kusoma kiswahili? Yani mimi nianze kukufundisha tofauti ya msalaba na jumlisha na x na kuzidisha?Tofauti ni ipi?