GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Je, Kosa lao ni moja ( linafanana ) au ni Makosa Mawili tofauti?
Je, mbele ya Macho na Hukumu ya Mungu kuna mwenye Afadhali Kiadhabu?
Je, Wawili hawa wakikutana kuna ambaye atamshangaa Mwenzake?
Na mkisema Makosa yao (Dhambi zao) ni sawa kwanini Waswahili wengi hukimbilia Kuwaadhibu kwa Kuwachoma Moto Wezi wa Pesa ila Wala Rushwa ambao wanaturudisha nyuma Kimaendeleo huku Wakipora Haki halali za Wengine (Wanadamu) wanaachwa na hawaadhibiwi Kikatili (Kishalubela) hivyo?
Najiandaa sasa kusoma 'Comments' zenu Great Thinkers wa JamiiForums ili nami nijifunze, nielimike na Utajiri wangu wa Maarifa uongezeke.