Naomba kujua tofauti ya maneno haya ya kisiasa

Naomba kujua tofauti ya maneno haya ya kisiasa

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,475
Wataalamu wa masuala ya kiasiasa na hata wa lugha ya kiswahili naomba kujua tofauti ya maneno haya.

Makamu, Naibu na msaidizi.

Kuna makamu wa Rais, Naibu katibu, na Katibu msaidizi.

Kwa Nini isiwe naibu mwenyekiti, au makamu wa katibu, Naibu mwenyekiti?

Kwa kweli sijui kwa Nini Yako hivi.
Naomba elimu hapa.
 
Back
Top Bottom