McCollum
JF-Expert Member
- Jan 10, 2023
- 384
- 684
Habari kwa wanajukwaa. Kwa leo naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Naulizia je huu unaweza kuwa ugonjwa gani hasa kwa vinguruwe vidogo kutoa haja kubwa ambayo inakuwa kama uji uji mwepesi na mara nyingi wanakosa hata nguvu ya kutembea. Ninaulizia ili niweze kuujua ugonjwa huu na kuwapatia nguruwe wangu tiba, kama itakuwa ya asili au artificial nipo tayari.
Naona hasara kwenye ufugaji inaninyemelea.