Naomba kujua ukweli kuhusu 'kiama'

Kwa nini Mungu atunyooshe Wakati we unadai ndio katuumba? Why atudhuru?
ametuumba ila katujuza kuwa tukitenda mabaya atatunyoosha na tukitenda mema tutaishi nae kwa furaha milele. ukichagua mabaya ni sawa na kujinyoosha mwenyewe
 
ametuumba ila katujuza kuwa tukitenda mabaya atatunyoosha na tukitenda mema tutaishi nae kwa furaha milele. ukichagua mabaya ni sawa na kujinyoosha mwenyewe
Hakuna kitu, kama maandiko mengi ya hizo riwaya zenu yanavyosema ati kabla hata hujazaliwa Mungu huwa anajua kama we ni wa motoni au sio wa motoni, kama ni hivyo kwa nini akuadhibu wakati kaishakupangia pa kwenda? Think big.
 
Hakuna kitu, kama maandiko mengi ya hizo riwaya zenu yanavyosema ati kabla hata hujazaliwa Mungu huwa anajua kama we ni wa motoni au sio wa motoni, kama ni hivyo kwa nini akuadhibu wakati kaishakupangia pa kwenda? Think big.
kwani ww hujui mabaya ni yapi na mema ni yapi? chagua mema uende Mbinguni na chagua mabaya uende motoni. umepewa akili na utashi wa kuchagua. Mungu hapangi nani aende Mbinguni na nani aende motoni, ila kwakuwa uwezo wake ni mkuu, anajua nani ni wa wapi!
 
Wewe huna Elimu ya hizo riwaya zako, soma vizuri tena, unajua maana ya Alpha na Omega? Mungu unajua destiny ya kila binaadamu na mwisho wake, sasa kwa nini anajua utaenda motoni halafu anakuacha hata ukiomba vipi utachomwa tu kwa kuwa alishapanga! So why worry your self?
 
mwenyewe sielewi mungu mwenye upendo na uwezo wote akaumba maovu ili iweje
 
ukiomba na kujibidiisha kuachana na maovu anakusaidia na moto wa milele utauepuka
 
Hahahah
Hahaha! Hiyo mvua ya shahawa itanyesha ili kuwafufua watu ama?!
 
Mwili ulitoka katika udongo roho ilitoka kwa Mungu na Mungu alipomuumba mwanadamu ilikua aishi milele baada ya dhambi mwili ulidhibiwa kurudi maali pake roho ndio nayo urudi kwa mwenyenayo na apo ndio inakutana na ukumu kama ilitenda mabaya motoni au mbinguni kwa mungu mpendwa kuna neema Yesu elikuja kutuokoa na adhabu ya milele soma yohana 3 kuanzia mstali wa kumi na sita
 
Hahahah

Hahaha! Hiyo mvua ya shahawa itanyesha ili kuwafufua watu ama?!
Yes sir lbd sbb mwili ulishakuw mifupa ile ndo inaleta nyama.ila stak uniulize shahawa zinatoka wp sbb ht me cjui
 
God is simply unnecessary; the idea of a Creator has historically been substituted for true knowledge about reality, but today we know better.So “Ignorance of nature’s ways led people in ancient times to invent gods to lord it over every aspect of human life."


This is the “God of the gaps” contention, which states that science has now filled past gaps in human’s knowledge of how the universe works and any remaining holes in that fabric will be mended by future discoveries.

Karibuni katika ulimwengu huru
.........Free ideas....
 
God is simply unnecessary; the idea of a Creator has historically been substituted for true knowledge about reality, but today we know better....
Karibuni katika ulimwengu huru
.........Free ideas....
Ulimwengu huru ulijitengeneza wenyewe?

Who created the laws of nature?

Nimesikia hata computers na manowari zilijitengeneza zenyewe, karibuni kwenye ulimwengu wa full(fool?)automation!

Ni nani aliyeutengeneza huo ulimwengu huru unaosema?

Huwezi kumtambua Mungu unaposhindwa kujitambua mwenyewe. Na hiyo ndio Changamoto yako.

Link The Noble Quran - القرآن الكريم
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…