Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ametuumba ila katujuza kuwa tukitenda mabaya atatunyoosha na tukitenda mema tutaishi nae kwa furaha milele. ukichagua mabaya ni sawa na kujinyoosha mwenyeweKwa nini Mungu atunyooshe Wakati we unadai ndio katuumba? Why atudhuru?
Hakuna kitu, kama maandiko mengi ya hizo riwaya zenu yanavyosema ati kabla hata hujazaliwa Mungu huwa anajua kama we ni wa motoni au sio wa motoni, kama ni hivyo kwa nini akuadhibu wakati kaishakupangia pa kwenda? Think big.ametuumba ila katujuza kuwa tukitenda mabaya atatunyoosha na tukitenda mema tutaishi nae kwa furaha milele. ukichagua mabaya ni sawa na kujinyoosha mwenyewe
kwani ww hujui mabaya ni yapi na mema ni yapi? chagua mema uende Mbinguni na chagua mabaya uende motoni. umepewa akili na utashi wa kuchagua. Mungu hapangi nani aende Mbinguni na nani aende motoni, ila kwakuwa uwezo wake ni mkuu, anajua nani ni wa wapi!Hakuna kitu, kama maandiko mengi ya hizo riwaya zenu yanavyosema ati kabla hata hujazaliwa Mungu huwa anajua kama we ni wa motoni au sio wa motoni, kama ni hivyo kwa nini akuadhibu wakati kaishakupangia pa kwenda? Think big.
Wewe huna Elimu ya hizo riwaya zako, soma vizuri tena, unajua maana ya Alpha na Omega? Mungu unajua destiny ya kila binaadamu na mwisho wake, sasa kwa nini anajua utaenda motoni halafu anakuacha hata ukiomba vipi utachomwa tu kwa kuwa alishapanga! So why worry your self?kwani ww hujui mabaya ni yapi na mema ni yapi? chagua mema uende Mbinguni na chagua mabaya uende motoni. umepewa akili na utashi wa kuchagua. Mungu hapangi nani aende Mbinguni na nani aende motoni, ila kwakuwa uwezo wake ni mkuu, anajua nani ni wa wapi!
mwenyewe sielewi mungu mwenye upendo na uwezo wote akaumba maovu ili iwejeHaya mambo ya kiroho kwa kiasi kikubwa yana utata sana. Tunaambiwa mtu yaani nafsi anapatikana kutokana na muunganiko wa mwili na roho (pumzi ya uhai) na kwamba mtu huyo anapokufa mwili uoza lakini roho ubaki ikisubiri siku ya kiama. Sasa swali ni kwamba kama kiama kinaanza muda au siku ile mtu anapokufa iweje adhabu iwe ni kwa roho tu na siyo kwa mwili pia wakati kipindi cha kutenda dhambi vilikuwa pamoja?
Na kama mateso yanaanza mara moja baada ya mtu kufa basi ni dhahiri kwamba wale wenzetu waliofariki karne nyingi zilizopita hadi siku ya kiama itakapofika watakuwa wamepata mateso makubwa zaidi (ya muda mrefu) kuliko wale watakao wamekufa miaka michache (mfano mwaka mmoja, miwili kumi n.k.) kabla ya hiyo siku ya kiama. Na kama wakianza kutumikia adhabu zao baada ya kiama hao waliokufa na kupata mateso karne nyingi zilizopita kuliko wengine watapunguziwa adhabu au la?!
Kingine mtu anazaliwa na kudumu duniani kwa dakika, masaa, siku au miaka michache tu lakini siku ya kiama anakuja kutumikia adhabu jehanamu milele! Daah...mimi hata sielewi bana.
Picha inajieleza hiyo!
ukiomba na kujibidiisha kuachana na maovu anakusaidia na moto wa milele utauepukaWewe huna Elimu ya hizo riwaya zako, soma vizuri tena, unajua maana ya Alpha na Omega? Mungu unajua destiny ya kila binaadamu na mwisho wake, sasa kwa nini anajua utaenda motoni halafu anakuacha hata ukiomba vipi utachomwa tu kwa kuwa alishapanga! So why worry your self?
Asante sana mkuu
Moto gani wewe?ukiomba na kujibidiisha kuachana na maovu anakusaidia na moto wa milele utauepuka
Hahaha! Hiyo mvua ya shahawa itanyesha ili kuwafufua watu ama?!Siku ya kufufuliwa tutatoka ktk tumbo la ardhi na kuulizana ardhi hii leo ina nini?!na kila atakaejiuliza amekaa mda gn kaburini jibu lake ni siku moja au ktk shm ya siku tu!km umelala then ukaamka.
Izrail mtoa roho kabla ya kiama atatumwa atoe roho viumbe wote waliobaki akimaliza atamuuliza mungu nimeshamaliza mungu atamjibu bado jamaa atarudi atazunguka kote hadi kw malaika atakuta wamekufa kisha atamrudia mungu kumueleza kwmb hamna kilichobaki.
Hapo mungu atamjibu ni ww pekee ndo umebaki jitoe roho unikabidhi ataitoa huku akilia kwa uchungu.
Baada ya hapo huku duniani itanyesha mvua ya shahawa na watu wataanza kufufuka na kujiuliza kuna nini tena tunaamshwa usungizi ulikuwa mtamu?!
Hapo ndo mungu muumba atasimama na kusema leo ndo siku ya haki hakuna atakaeonewa isipokuwa kwa aliyoyatenda.hii siku haina shaka ndugu zangu sbb huku duniani hakuna haki mkubwa anaonea mdogo tajir anatesa maskini
Huyo Mungu aliyeelezewa kwenye bible na quran ni jitu kubwaaa, lenye hasiraa na linalotumia nguvu kuliko akili.... huyo ni kiumbe perfect wa kumtumia ukitaka kutisha watoto wasifanye ulichowakataza
adhabu ya milele itokanayo na dhambiMoto gani wewe?
Yes sir lbd sbb mwili ulishakuw mifupa ile ndo inaleta nyama.ila stak uniulize shahawa zinatoka wp sbb ht me cjuiHahahah
Hahaha! Hiyo mvua ya shahawa itanyesha ili kuwafufua watu ama?!
Kwahyo ww ni muislam?
Ulimwengu huru ulijitengeneza wenyewe?God is simply unnecessary; the idea of a Creator has historically been substituted for true knowledge about reality, but today we know better....
Karibuni katika ulimwengu huru
.........Free ideas....
God is simply unnecessary; the idea of a Creator has historically been substituted for true knowledge about reality, but today we know better.So “Ignorance of nature’s ways led people in ancient times to invent gods to lord it over every aspect of human life."
This is the “God of the gaps” contention, which states that science has now filled past gaps in human’s knowledge of how the universe works and any remaining holes in that fabric will be mended by future discoveries.
Karibuni katika ulimwengu huru
.........Free ideas....