ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Zamani ilisemekana kulikuwa na watu kazi yao ni kunyonya watu damu na story nyingine zinasema walikuwa pia wakichuna ngozi ila sasa kama ni kweli nataka kujua Ilikuwa ni watu binafsi wakifanya hio biashara au walikuwa wakitumwa na serikali? Siamini kama serikali ingeweza kufanya hivyo sio rahisi.