Naomba kujua ukweli kuhusu wanyonya damu

Naomba kujua ukweli kuhusu wanyonya damu

Shule moja ya msingi huko mikoa ya kanda ya ziwa nilishuhudia kabisa shule nzima wanafunzi walitokea madirishani baada ya kutembelewa na mabwana afya na makoti yao meupu katika kampeni ya kipindupindu wakidhani ni wanyonya damu
 
Back
Top Bottom