digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu Acha kukalili wewe,ni dini gani ambayo haina taraka!?Sasa mbona umesha pewa utaratibu
Tofauti na Waislam dini zingine hazina TALAKA, sasa watahakikishaje kuwa mmeachana?
Ndio sababu ukapewa huo utaratibu mbadala badala ya kukutaka ulete cheti cha talaka
Ila kama hujapata mbadala, nakushauri umuache tu aendelee kupata huduma kwani haikupunguzii chochote...