Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyuo karibu vyote maana udsm ,udom,sua,open university,rucu,university of iringa (zamani tumaini) n.k kuhusu ada ingia website ya chuo unachokotaka upakue prospectus utaona ada,hii ni programme ya mwaka mmoja ( miezi 12)Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada
ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao.
Jibu la hovyo kabisa hili ndg yaani nimekudharau sana. Hivi unajitambua kweli wewe?Hizo pesa unazokwenda kutupa huko ni bora ungeanzisha shule yako mwenyewe.
Hivi ada zake zinakuwa kwa installment?Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada
ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao.