K Kioski Member Joined Nov 24, 2017 Posts 93 Reaction score 106 Jun 6, 2024 #1 Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao.
Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao.
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Jun 8, 2024 #2 Hizo pesa unazokwenda kutupa huko ni bora ungeanzisha shule yako mwenyewe.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 8, 2024 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Doubleg Malafyale JF-Expert Member Joined Feb 17, 2017 Posts 2,733 Reaction score 3,561 Jun 8, 2024 #4 Kioski said: Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao. Click to expand... Vyuo karibu vyote maana udsm ,udom,sua,open university,rucu,university of iringa (zamani tumaini) n.k kuhusu ada ingia website ya chuo unachokotaka upakue prospectus utaona ada,hii ni programme ya mwaka mmoja ( miezi 12)
Kioski said: Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao. Click to expand... Vyuo karibu vyote maana udsm ,udom,sua,open university,rucu,university of iringa (zamani tumaini) n.k kuhusu ada ingia website ya chuo unachokotaka upakue prospectus utaona ada,hii ni programme ya mwaka mmoja ( miezi 12)
B braity JF-Expert Member Joined May 24, 2020 Posts 366 Reaction score 478 Jun 16, 2024 #5 Meneja Wa Makampuni said: Hizo pesa unazokwenda kutupa huko ni bora ungeanzisha shule yako mwenyewe. Click to expand... Jibu la hovyo kabisa hili ndg yaani nimekudharau sana. Hivi unajitambua kweli wewe?
Meneja Wa Makampuni said: Hizo pesa unazokwenda kutupa huko ni bora ungeanzisha shule yako mwenyewe. Click to expand... Jibu la hovyo kabisa hili ndg yaani nimekudharau sana. Hivi unajitambua kweli wewe?
S srbuu New Member Joined Jan 28, 2024 Posts 1 Reaction score 0 Oct 8, 2024 #6 Kioski said: Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao. Click to expand... Hivi ada zake zinakuwa kwa installment?
Kioski said: Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao. Click to expand... Hivi ada zake zinakuwa kwa installment?
solow swan Member Joined Jul 18, 2023 Posts 23 Reaction score 32 Oct 8, 2024 #7 Nenda website ya tcu uangalie guidebook for postgraduate admission 2024/25