indundidotcom
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 235
- 230
Kuna moja inaitwa "Amkeni Fukeni" sijui ya wapi wako vizuri sanaUkiacha hao pia kuna shangilien kwaya wa arusha walinibariki sana enzi hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shangilini kwangu ni Bora ,
"Habari ya mwana mpoteeevu
Aliyeomba urithi ......
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama ni mid 90s,
Sababu ipo video youtube mzee mmoja kati ya wale walioimba kwaya anaeleza.nyimbo ya katika viumbe vyote imetungwa mwaka 1979,na eneo lilipokuwa kanisa pamekuwa pori.so album kama ilichelewa sana itakuwa ilitoka 1982-1985.
Hakika mkuuNingeweka hapa nyimbo yao moja,naona app imenikatalia kuattach....All in all ukisikia kijana anazijua hizo nyimbo jua ni dalili bila shaka amekulia nyumba ya watu wenye kumjua Mungu au ni familia ya watumishi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kama naniii alivosema