Naomba kujulishwa jinsi ya kufika Brazil

Sema uko wapi saivi ili nikuelekeze
 
Mkuu huwezi kwenda POPOTE BILA VIZA...kuna watu wa AIRLINE wanaitwa AIRLINE SECURITY, ,hawa kazi YAO ni kudeal na MIGRANTS... unapaswa kukutana nao kwanza,, kabla ya kuboard..wao watachek PASPORT YAKO NA MUALIKO WAKO NA VIZA YAKO,,,watakaguwa....kama MAGUMASHI wanakuzuia,,,kama poa UTAENDELEA NA PROCESS ZINGINE usidanganyike KIJANA...fuata maelekezo...
Nilitaka kujua kama nitapata visa on arrival?au nalazimika kupata before sijasafiri?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndio mambo wabongo wanatakiwa washirikiane kama wenzetu nigeria.sio mtu anajibu panda kiaz kitamu.pumbavu kabisa
 
Ndugu yangu Brazil [emoji1054] utaenda kufa njaa napajua vizuri hakuna namna yeyote yakutoka zaidi ya kuwa kicontena cha kubeba unga


Sent using IPhone X

Ataenda kufa njaa?? Wewe ulishawahi kwenda ukafa njaa? Je una statistic ya watu walio kufa njaa Brazil??

Embu, wabongo tubadilike, tusiwe na mawazo mgando , hasa kama huna research yoyote kuhusu nchi za watu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Humu ndani wengi watakukatisha tamaa tu, njoo PM nikupe route ya kuzama huko..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Mkuu nimekukubali sana, umeongea facts zote hizo.

Na mimi nipo kwenye process za kuingia Canada..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu nahisi mleta mada anataka atumie usafiri mwingine tofauti na wa ndege. Kasema anataka anze safari mdogo mdogo wakija kufungua balozi awe amesogea.maana kwa sasa balozi zimefunga.

Hata hivyo nahisi ushauri wako utamfaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…