Naomba kujulishwa jinsi ya kufika Brazil

Huyu kijana sijui nani kamshawishi, nchi yenyewe inahitaji msaada kama huku, ufuska wote unapatikana huko, atarudi na chupi we mwache 😀 na atakuja kusimulia hapa
Mi nishasafiri sana.India,China,Malaysia na makazi yangu South Africa.sio safari yangu ya kwanza.Najua nachokifanya kama unafkiri nimekurupuka pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NB:KAMA UNAKUJA HAPA KUNIPA WOSIA,SIJUI KUNIONYA SITAKI.NIMESHAAMUA NASAFIRI,NITASAFIRI.VYOVYOTE ITAVYOKUA NITASAFIRI.PLEASE SITAKI MAWOSIA SIJUI NITAKUFA WAT WAT.ACHA NIFE NI FAMILIA YANGU NDIO ITAYOFILISIKA SIO YAKO.NIACHENI NIENDE MBONA HIVYO??UKINIJIA PM KUNIPA WOSIA NAKUANIKA HAPA.SITAKI HIZO

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Boss unataka ukale Totoz za kibrazil, hatari sana.
 
Anazunguja sana kwanini asiende Bahamas au caribien island yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I’m in São Paulo.....wewe Gru Airport utakamatwa asubuhiii maana jamaa wana airport security sijapata ona....uta deportiwa mapemaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]....Karibu São Paulo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
I’m in São Paulo.....wewe Gru Airport utakamatwa asubuhiii maana jamaa wana airport security sijapata ona....uta deportiwa mapemaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]....Karibu São Paulo


Sent using Jamii Forums mobile app
Je huu ni ushauri au maoni??kama huna something positive please ruka huu uzi.Nikamatwe kwa lipi??unaniona wa kuja au??pita vile tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Acha kelele wewe komaa ujenge Taifa lako kwa manufaa ya wajukuu zako, huko uendako tayari babu zao walishafanya kitu kwa manufaa ya wajukuu na vitukuu vyao sasa wewe huku unataka future ya wajukuu zako akujengee nani??

Kukimbilia kwenye mataifa yaliyoendelea kwa kuvutiwa na urithi wao ni dalili za kupenda mteremko, tupo Bongo hapa wenzio tunakaza jua mvua ili wajukuu zetu wakute miji iliyoendelea....
 
Je huu ni ushauri au maoni??kama huna something positive please ruka huu uzi.Nikamatwe kwa lipi??unaniona wa kuja au??pita vile tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa, dada unaonekana una hamu sana na safari ya SAO PAULO, Brazil kutamu jamani.

Nakumbuka Waghana walioenda kuangalia kombe la dunia 2014 walitaka kubaki kama wakimbizi wakisingizia kwao kuna vita za wenyewe kwa wenyewe.

Kule maisha matamu kama una hela, fukwe nzuri, vyakula cheap, starehe za kutosha.

Anyway, nakutakia kila la kheri na ufanikishe safari yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…