"Uzanzibar ukaazi" ndio unaozungumziwa kwenye hiyo sheria iliyotungwa na baraza la wawakilishaji; kama ilivyo elezwa hapo juu #15, au siyo?
Na waziri wa Serikali ya Mapinduzi, bado anaweza kukuondoa ndani ya nchi hiyo hata ukiwa umeishi huko zaidi ya hiyo miaka 15. Unakuwa 'deported' toka ndani ya "nchi moja" kama unavyoeleza kwenye maneno machache hapo juu. Maana yake, sheria ya huko ina mamlaka zaidi ya hiyo sheria ya "nchi moja" ya kusadikika!
Okay, labda nihitimishe hivi ili kupata mantiki ya swala hili:
URAIA ni swala la Muungano; UKAAZI, ni swala la nchi ya Zanzibar. Got It!