Naomba kujuzwa Basi zuri la Dar mpaka Mwanza msimu huu wa sikukuu 2022

We jamaa unapenda sana ligi na ROCK CITY

ruti ya dar mwanza inabus kali kuliko dar mbeya

Ruti ya MWANZA-DAR kuna Benz,golden dragon,zhongtong,yutong,king long,sung long,asiastar,higher na marcopolo acha ujinga kijana

Shika hili ruti kati ya mkoa wa MWANZA na MARA ndizo zinazoongoza kua na gari nyingi nchii[emoji3]

Kama zikija huko kwenu mbeya zinajaza stand yenu ya mkoa
 
Mwanza to dar ,,,,[emoji116]
Salvation,
Travel partner
Alfa
Zuberi
Alys
Phoenix
Libanika trans(former tanzanite).
Kisesa
Kidia one .
Nyehunge
Kvc
 

Attachments

  • 20221205_171101.jpg
    162.6 KB · Views: 16
Hakuna bus ambalo haliingii Magufuli terminal. Ni Lazima yaingie labda liwe limekodiwa ..

Ally's mara nyingi sana saa 4 - 5 usiku anaingia Mwanza...kuchelewa pia kupo maana kuna kuharibika pia sometimes.
Nilichoandika nina uhakika nacho. Kuna bus lao linalojulikana kama 1A kawaida uwa haliingii Magufuli Bus Terminal. Nimepanda sana bus hilo na mara zote hakuna hata siku moja bus lilifika Mwanza kabla ya saa 6:30 usiku japo kwenye tiketi zao wanazotoa wanaandika muda wa kufika ni saa 4:30
 
Me mwenyewe nasafiri na ally's tu, 1A huwa inatangulizwa kufungua geti nyegezi ila inaingia magufuli.

Allys gari moja tu ndo inapakilia pale magufuli nyingine zote zinapakilia urafiki, mule magufur saiv zinaingia tu kulipa ushuru na kusepa.

Saiv hakuna gari isiyoingia magufuri mkuu
 
Sometimes haziingii...sio Ally's tu hata nyingine zinazoanzia Shekilango inategemea na upepo umekaaje
 
Nimeona wadau mmelitaja happy nation, kuna jamaa yangu alipanda hilo gari wiki iliyopita tu alifika mwanza kesho yake asbh,
 
Nipo shinyanga hapa sasa hivi, ally's kama mbili hivi zimeishakata mbuga kuitafuta Mwanza
 
Ni msimu wa likizo, unaweza kutaja pia la mkoa mwingine

Ila kwa mimi naomba kujuzwa la Dar to Mwanza, liwe la luxury safi na la uhakika,
Wasikutapeli Sogea Moro then Panda Nyahunge Double seat,iko Luxury,hutajutia,utafika uko happy Nyegezi Hadi Nata
 
[emoji38][emoji38] abood hajawahi kuwa na basi nzuri ktk ruti za masafa marefu,kuna mwaka dar kwenda mbeya nilifika saa tano usiku,wakati huo niliwahi fika mwanza kidogo kule nilikua naziona asubuhi ndio zinaingia,hapo ina maana zinalala shinyanga.
Hao wapuuzi Abood ndio staki kuwasikia kabisa

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Nimeona wadau mmelitaja happy nation, kuna jamaa yangu alipanda hilo gari wiki iliyopita tu alifika mwanza kesho yake asbh,
Nilikuwa nataman kuandika kitu kuhusu Happy Nation nikasita,mimi nimepanda wiki tatu nyuma,gari ilikuwa imechakaa alafu hata charging system hakuna,tena unalipia nauli ya semi luxury.
 
Nilikuwa nataman kuandika kitu kuhusu Happy Nation nikasita,mimi nimepanda wiki tatu nyuma,gari ilikuwa imechakaa alafu hata charging system hakuna,tena unalipia nauli ya semi luxury.
Wanauza jina tu ila ni choka mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…