92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Weeeee nina dawa inaitwa mkuyati njoo nikupe unapona😂😂Nyuma ya mapaja na kiunoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeeee nina dawa inaitwa mkuyati njoo nikupe unapona😂😂Nyuma ya mapaja na kiunoni
ili kupata takwimu halisi na jinsi ya kukusaidia bibieMbona unauliza hadi huko!? [emoji15]
Demantologist huyo wa jf uliokuwa unamuuliza kafika 😂🤣Mbona unauliza hadi huko!? [emoji15]
Siwez kupost picha mm bint wa kiislam kama kuacha tu unywele nje siwez vipi nije nikuoneshe sehem za ndaniHaya nimekuja dakitari wa michirizi na maswala ya unene kwa akina singo maza....hebu niambie mamaaa michirizi iko wapi na kapicha kahusike[emoji16] alafu nitakupatia dawa ukapake
Yani ndo unazidi kutuvuruga mafundi ngoziSiwez kupost picha mm bint wa kiislam kama kuacha tu unywele nje siwez vipi nije nikuoneshe sehem za ndani
Weeeee Kumbe binti wa kiislamu jamani mashaallah basi mm nina dawa za kisuni kabisa kwa uwezo wa mnayaazi Mungu ahhh nakupa dozi ww utapona. Alafu usiseme watu wakasikia kama ww unajisitiriSiwez kupost picha mm bint wa kiislam kama kuacha tu unywele nje siwez vipi nije nikuoneshe sehem za ndani
Yn kama hy michirizi ipo makalioni na mapajani, aisee nakupa hongera sana mana ndio ugonjwa wangu huo nikimuona mwanamke yuko hvy hua sichoki kumuangaliaSitembei uchi bali naona hainivutii mwilin na siipend
We ni mganga kwa hyo!? Hzo dawa zako zinatibu majini tu na sio michirizWeeeee Kumbe binti wa kiislamu jamani mashaallah basi mm nina dawa za kisuni kabisa kwa uwezo wa mnayaazi Mungu ahhh nakupa dozi ww utapona. Alafu usiseme watu wakasikia kama ww unajisitiri
binafsi nimekutana nalo hilo leoKumbe PM saivi kuna mabadiliko wajameni
Situmiagi hio ndo nmeona nlvokua namuandikia huyu pt naona kama whatsapbinafsi mwenyewe nimekutana nalo hilo leo
naona hata uwang'avu wa jf umezidi leoSitumiagi hio ndo nmeona nlvokua namuandikia huyu pt naona kama whatsap
Hio michirizi ndio majini yenyewe tulia upakwe dawaWe ni mganga kwa hyo!? Hzo dawa zako zinatibu majini tu na sio michiriz
Au wana turekodi mana nmekuta mamessage ya mwaka juzi na nlishafutanaona hata uwang'avu wa jf umezidi leo
Binti wa Kiislamu wa nyokweeeeeeeeeSiwez kupost picha mm bint wa kiislam kama kuacha tu unywele nje siwez vipi nije nikuoneshe sehem za ndani
Dada, hongera sana bila shaka mnyaazi Mungu amekubariki umbo zuri. Binafsi napenda sana mwanamke wangu awe na michirizi hasa hizo sehemu ulizotaja pamoja na kwenye makalio.Nyuma ya mapaja na kiunoni
Sikuwa na maana hy, Yah hata hvy nimetumia neno lenye ukali am sorryAsante kwa tusi
Tumia hii hapa. Pia olive oil, ukichanganya na chumvi na sukari inaweza saidia pia.Habar zenu. mwenye kujua dawa ya kutoa michiriz mwilini kwa haraka tafadhali maana inanikera na sijui nipake kitu gani itoke , inaninyima confidence kabisaa
Kama dermatologist yupo anisaidie ushauri , stretch marks zinaondoa mvuto jaman