Naomba kujuzwa dawa ya michirizi

Naomba kujuzwa dawa ya michirizi

Blackynad
20230728_232832.jpg
 
Habar zenu. mwenye kujua dawa ya kutoa michiriz mwilini kwa haraka tafadhali maana inanikera na sijui nipake kitu gani itoke , inaninyima confidence kabisaa

Kama dermatologist yupo anisaidie ushauri , stretch marks zinaondoa mvuto jaman
Tumia hii hapa. Pia olive oil, ukichanganya na chumvi na sukari inaweza saidia pia.
 

Attachments

  • BCB7AF74-51E7-4C25-A6D6-29CDEBAC30E9.jpeg
    BCB7AF74-51E7-4C25-A6D6-29CDEBAC30E9.jpeg
    25.4 KB · Views: 27
Back
Top Bottom