spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Sio tu mwanamke ni malkia wa nguvu huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio tu mwanamke ni malkia wa nguvu huyo
Jamani😃😃😃,,, mimi ni mwanamke jamani
Yeah 🥰😘😘Sio tu mwanamke ni malkia wa nguvu huyo
Habar zenu.
Mwenye kujua dawa ya kutoa michiriz mwilini kwa haraka tafadhali maana inanikera na sijui nipake kitu gani itoke, inaninyima confidence kabisaa
Kama dermatologist yupo anisaidie ushauri, stretch marks zinaondoa mvuto jamani
Aisee nilikuwa sijui.Jamani[emoji2][emoji2][emoji2],,, mimi ni mwanamke jamani
Usitafute matatizo na mimi mkuuAisee nilikuwa sijui.
Nakuja PM...
Kama imefungwa ifungue please [emoji16]
Dogo jiamini [emoji16][emoji16][emoji16]Usitafute matatizo na mimi mkuu
Tumia scar removerHabar zenu.
Mwenye kujua dawa ya kutoa michiriz mwilini kwa haraka tafadhali maana inanikera na sijui nipake kitu gani itoke, inaninyima confidence kabisaa
Kama dermatologist yupo anisaidie ushauri, stretch marks zinaondoa mvuto jamani
Hio ni automatically km mistari ya kwenye viganja au unaweza kuiondoa mistari ya kwenye viganja vyako sababu vinakuondolea kutokujiamini?Nyuma ya mapaja na kiunoni
www.instagram.com
Mtumie tukanunue Macho manne ikitokaDogo jiamini [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila kama ni mkeo wa ndoa sema nirudishe mashambulizi nyuma. Vinginevyo naanza kupeleka miamala mizito non stop utafanya operesheni na kuiba madawa hapo hospitalini kwako mpaka ufukuzwe kazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Inakunyima confidence kwani unatembeaga uchi??
Kwani unaogopa kuwa mwanamme 😄Jamani😃😃😃,,, mimi ni mwanamke jamani
Sawa kaka nashkuruHio ni automatically km mistari ya kwenye viganja au unaweza kuiondoa mistari ya kwenye viganja vyako sababu vinakuondolea kutokujiamini?
Jikubari huyo mwanaume aliekwambia haipendi michirizi ya mapaja yako na kiuno chako mpige chini tafuta mwanaume mwingine hakupendi huyo, yaan wanawake sijui mnakuaje mwanaume akikwambia havipendi vitako vyako vidogo mnatafuta dawa za kufutua matako akikwambia hauna hips unatafuta dawa za kufukunua mahips mtaacha lini?
Nimekwambia usiondoe hio michiriziKaka zile sio za kutoa makovu tu !?
NakaziaKama umeolewa paka shahawa za mpenz wako. Wiki moja chirizi zote kwisha
Si nimekuuliza unaweza kuiondoa mistari ya viganja vyako?Kwa nini nibaki nayo??