Naomba kujuzwa dawa ya michirizi

Naomba kujuzwa dawa ya michirizi

Habar zenu.

Mwenye kujua dawa ya kutoa michiriz mwilini kwa haraka tafadhali maana inanikera na sijui nipake kitu gani itoke, inaninyima confidence kabisaa

Kama dermatologist yupo anisaidie ushauri, stretch marks zinaondoa mvuto jamani

Yani hakuna kitu napenda kama michirizi, nikiiona napata mzuka hatari, naweza ongea lugha zote za upande wa Baba, Mama na Kizungu.
 
Nyuma ya mapaja na kiunoni
Hio ni automatically km mistari ya kwenye viganja au unaweza kuiondoa mistari ya kwenye viganja vyako sababu vinakuondolea kutokujiamini?

Jikubari huyo mwanaume aliekwambia haipendi michirizi ya mapaja yako na kiuno chako mpige chini tafuta mwanaume mwingine hakupendi huyo, yaan wanawake sijui mnakuaje mwanaume akikwambia havipendi vitako vyako vidogo mnatafuta dawa za kufutua matako akikwambia hauna hips unatafuta dawa za kufukunua mahips mtaacha lini?
 
Dogo jiamini [emoji16][emoji16][emoji16]

Ila kama ni mkeo wa ndoa sema nirudishe mashambulizi nyuma. Vinginevyo naanza kupeleka miamala mizito non stop utafanya operesheni na kuiba madawa hapo hospitalini kwako mpaka ufukuzwe kazi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mtumie tukanunue Macho manne ikitoka
 
Hio ni automatically km mistari ya kwenye viganja au unaweza kuiondoa mistari ya kwenye viganja vyako sababu vinakuondolea kutokujiamini?

Jikubari huyo mwanaume aliekwambia haipendi michirizi ya mapaja yako na kiuno chako mpige chini tafuta mwanaume mwingine hakupendi huyo, yaan wanawake sijui mnakuaje mwanaume akikwambia havipendi vitako vyako vidogo mnatafuta dawa za kufutua matako akikwambia hauna hips unatafuta dawa za kufukunua mahips mtaacha lini?
Sawa kaka nashkuru
 
Back
Top Bottom