Naomba kujuzwa gharama za kujenga kwa Mkandarasi

Naomba kujuzwa gharama za kujenga kwa Mkandarasi

Slime

Member
Joined
Mar 7, 2021
Posts
15
Reaction score
47
Habari wakuu,

Wakati najipanga hapa nikaona niombe mchango wa mawazo na uzoefu wenu.

Bila shaka wapo ambao mnafahamu gharama ya kumtumia mkandarasi kujenga, walau kwa kukisia tu.

Nashukuru sana kwa mchango wenu.
 
Inategemea, kuna wale ambao unaingia nae mkataba, anakukabidhi nyumba. Yeye anaweka hela yake. We unachofanya ni kumpa deposit na mnakuwa na payment plan yeye anapiga kazi. Anakuwa tayari na mtaji.

Hawa huwa wanaangalia ukubwa wa built up area kisha anakupa BOQ etc na bei etc. Last time nilipewa estima 400k per sqm yaani kuanzia msingi mpaka kuhamia so ka built area yako ni 100sqm basi ni 40 Milion mpaka unahamia.
 
Inategemea.Kuna wale ambao unaingia nae mkataba,anakukabidhi nyumba.Yeyey anweka hela yake.We unachofanya ni kumpa deposit na mnakuwa na payment plan yeye anapiga kazi.Anakuwa tayari na mtaji.Hawa huwa wanaangalia ukubwa wa built up area kisha anakupa BOQ etc na bei etc.Last time nilipewa estima 400k per sqm yaani kuanzia msingi mpaka kuhamia so ka built area yako ni 100sqm basi ni 40 Milion mpaka unahamia.

Nashukuru sana mkuu, hii imenipa mwanga!

Naangalia uwezekano wa kutoa ka-ghorofa cha floor moja ila sina imani na mafundi wa mtaani.

Ndio naona bora nijue bei ya kufanya kitu roho ikiwa na amani.
 
Nashukuru sana mkuu, hii imenipa mwanga!

Naangalia uwezekano wa kutoa ka-ghorofa cha floor moja ila sina imani na mafundi wa mtaani.

Ndo naona bora nijue bei ya kufanya kitu roho ikiwa na amani.
Kusema kweli ndugu ubora wa kazi pande zote mbili unaweza kupatikana kwa wastani mmoja, hawa wamtaani wanaowatumia baadhi wanawapa kazi moja kwa moja ama wanakuwa na msimamizi injinia, nilichojifunza kwenye taaluma hii uaminifu ni mdogo itoshe tu kusema kama unachukua kampuni hakikisha ni kampuni inayoeleweka, unaweza kupigwa pesa nyingi na kazi isiwe vile unataka.
 
Habari wakuu,

Wakati najipanga hapa nikaona niombe mchango wa mawazo na uzoefu wenu....
Kujenga Ghorofa au? Maana mkandarasi lazima muingie mkataba ambao una mambo meeengi yakimaliziwa na mchanganuo wa gharama za kazi, vifaa, nyezo zitakazotumika nk.

Na katika hao wakandarasi wanatofautiana madaraja, kuna wakandarasi wa daraja la 1 mpaka daraja la 7. Kwa kifupi kila mkandarasi atakuletea gharama zake maana utatakiwa uwakabidhi BOQ waijaze.
 
Kujenga Gorofa au? Maana mkandarasi lazima muingie mkataba ambao una mambo meeengi yakimaliziwa na mchanganuo wa gharama za kazi, vifaa, nyezo zitakazotumika nk..na katika hao wakandarasi wanatofautiana madaraja, kuna wakandarasi wa daraja la 1 mpaka daraja la 7. Kwa kifupi kila mkandarasi atakuletea gharama zake maana utatakiwa uwakabidhi BOQ waijaze.

Ndio mkuu, ki-ghorofa kimoja kidogo hivi ndo nafikiria hapa.

Nashukuru kwa kuchangia pia!
 
Kusema kweli ndugu ubora wakazi pande zote mbili unaweza kupatikana kwa wastani mmoja hawa wamtaani wanaowatumia baadhi wanawapa kazi mojakwamoja ama wanakuwa na msimamizi injinia nilichojifunza kwenye taaruma hii uaminifu nimdogo itoshe tu kusema kama unachukua kampuni hakikisha nikampuni inayoeleweka unaweza kupigwa pesa nyingi nakazi isiwe vile unataka

Kweli uaminifu mdogo sana kwa mafundi wetu hawa. Nyumba naziona mtaani hapa, baada ya mwaka tu nyumba ina nyufa kibao.
 
Kweli uaminifu mdogo sana kwa mafundi wetu hawa. Nyumba naziona mtaani hapa, baada ya mwaka tu nyumba ina nyufa kibao.
Kweli mkuu lazima uchukue tahadhali ila kama hutajali, kuna ndugu yangu nifundi ameanzia mtaani lakini akaja kupata nafasi kusimamia kwenye majengo makubwa. Sisemi mengi juu yake ama sisemi umpe kazi ila naamini angekupa mwanga kwenye hicho unataka kufanya, tunajaribu kupeana njia tu mkuu ukifanikiwa leo hata mm kama mpenda maendeleo nitafurahi
 
Habari wakuu,

Wakati najipanga hapa nikaona niombe mchango wa mawazo na uzoefu wenu.

Bila shaka wapo ambao mnafahamu gharama ya kumtumia mkandarasi kujenga, walau kwa kukisia tu.

Nashukuru sana kwa mchango wenu.
 
Swali lako halijajitosheleza, ukisema gharama ya kujenga na mkandarasi huwezi kujibiwa kwasababu hakuna anaejua unajenga nini? choo, banda la kuku, chumba kimoja, kiwanda, barabara, mtaro , daraja, kisima pia cha ukubwa gani?. swali lako halijawa swali bado

Sawa kaka, ila nilimaanisha kujenga ki-ghorofa cha floor moja kama nilivyoandika hapo juu.
Vyumba vitatu tu.
 
Ok, nimekupata, sasa wakandarasi huwa wanapiga hesabu kwa square meter. Yaani unapaswa kujua nyumba yako ina square meter kiasi gani hapo contactor atazidisha kwa gharama ya square meter moja na kukupatia bei ya ujenzi wa project nzima
 
Epuka gharama zisizo na msingi, kaghorofa cha milioni 80 unaweza kujenga kwa milioni 200 kama ukienda official sana na pia product isiwe kama vile unavyotaka. Cha muhimu ni kuwa na msimamizi mzuri, mwenye uzoefu na muaminifu. Unaweza kutumia mafundi wa kawaida na product ikawa nzuri tu, njoo pm kwa msaada zaidi.
 
Kweli uaminifu mdogo sana kwa mafundi wetu hawa. Nyumba naziona mtaani hapa, baada ya mwaka tu nyumba ina nyufa kibao.
Ni vizuri, maana mkandarasi lazima ahakikishe anakabidhi kazi nzuri kabla hajalipwa maana akilipua halipwi mpaka arekebishe.
 
Umetoa hint nzuri kuhusiana na gharama per SQM. Vipi kuhusu ya fuatayo:-
1) What if mkandarasi akatumia FINISHING MATERIALS za gharama/ubora wa chini kufanya finishing?
2) Je naweza vipi kujua gharama za labour charge kutoka hiyo jumla ya gharama za SQM kwa mfano ulioutoa (40 Million)
3) Je nikiamua ninunue material na yeye afanye kazi ya ujenzi pekee unaweza kutuma hint za mgawanyo wa malipo ya kazi hatua kwa hatua kwa maana ya:-
Msingi/Foundation;
Kunyanyua boma mpaka lenta;
Kupaua/Paa;
Plastering,
Wiring;
Tiling;
Na fininshing nyinginezo.......
Inategemea Kuna wale ambao unaingia nae mkataba,anakukabidhi nyumba.Yeye anweka hela yake.We unachofanya ni kumpa deposit na mnakuwa na payment plan yeye anapiga kazi.Anakuwa tayari na mtaji.

Hawa huwa wanaangalia ukubwa wa built up area kisha anakupa BOQ etc na bei etc. Last time nilipewa estima 400k per sqm yaani kuanzia msingi mpaka kuhamia so ka built area yako ni 100sqm basi ni 40 Milion mpaka unaham
 
Kuna njia 2 za ujenzi kwa kutumia mkandarasi
1. Gharama ya vifaa vya ujenzi na gharama za ufundi zote zinakua kwake (Mkandarasi)

2. Unanunua vifaa vya ujenzi mwenyewe alaf mkandarasi anakucharge gharama za ufundi tu

Njia zote mbili ili uweze kutekeleza mradi wako unapaswa kwanza kuwa na michoro na makadilio ya gharama.

Kwa nyumba ya ghorofa nakushauri kwanza muone mchora ramani (Architect) ili akuandalie michoro utakayoridhika nayo na kisha utamuona Mhandisi wa ujenzi (Civil Engineer) anakayeandaa michoro ya kitaalam -structural drawings ukishapata michoro yote kwa pamoja kisha mtafute mkadilia majenzi (Quantity Surveyor) atakayetumia michoro yote kuandaa makadilio ya gharama za material zitakazotumika na kisha kutokana na gharama hizo utapata gharama za ufundi ambazo hazipaswi kuzidi asilimia 20 ya gharama za materia na huo ndiyo utakua msingi wa makubaliano kati yako na mkandarasi

Maandalizi ya michoro na makadilio ya gharama yanaweza kukughalimu kuanzia Sh laki 5 hadi milioni moja
 
Nashukuru sana mkuu, hii imenipa mwanga!

Naangalia uwezekano wa kutoa ka-ghorofa cha floor moja ila sina imani na mafundi wa mtaani.

Ndo naona bora nijue bei ya kufanya kitu roho ikiwa na amani.
Bwana bwana pamoja na huyo injinia hakikisha wewe mwenyewe unasimamia pia.
 
Nashukuru sana mkuu, hii imenipa mwanga!

Naangalia uwezekano wa kutoa ka-ghorofa cha floor moja ila sina imani na mafundi wa mtaani.

Ndio naona bora nijue bei ya kufanya kitu roho ikiwa na amani.
Local fundis atakusumbua mwanzo-mwisho. Sijui Mama anaumwa,. Sijui nimefiwa
 
Back
Top Bottom