Naomba kujuzwa kama serikali ya kijiji ina mamlaka kisheria kugawa kiwanja cha mtu bila idhini yake

Naomba kujuzwa kama serikali ya kijiji ina mamlaka kisheria kugawa kiwanja cha mtu bila idhini yake

Sagungu 1914

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
938
Reaction score
581
Ndugu kiwanja chetu cha familia kilivamiwa na mtu ambaye alikuwa jirani yetu kwa kipindi hicho, tulipokuwa tunamwambia atoke kwa mdomo alikuwa anasema kuwa hawezi toka kwani amepewa na serikali ya kijiji baada ya kuona hicho kiwanja hakiendelezwi.

Tulipofungua kesi mtendaji anasema eti huyu hana makosa maana alipewa na serikali ya kijiji na akatushauri kwamba eti twende tuyamalize huko nyumbani na huyu mvamizi wa kiwanja chetu kitu ambacho sisi kama familia hatujaridhika na huo uamuzi kwani hayuko tayari kutoka kwa hiyari yake.

NB: Ndani ya kiwanja kuna miti ishirini na makaburi matatu.
 
Vijiji huweka kanuni na Sheria zao(by laws) ambazo hutumika katika Kijiji Chao ambazo Ni mamlaka kamili ambayo yapo kisheria. Wengine ukipewa kiwanja Cha biashara unapewa mwaka 1 usipoendeleza anapewa mwingine, viwanja vya makazi Ni miaka 2wengine miaka 5, 10 n.k.

Sasa kwaupande wenu huenda mlihama mkaenda mijini huko, Sasa maisha ya tozo yamewagonga mmerudi bushi mmekuta yakuyakuta. Kama Hilo eneo iligawa kamati bila maamuzi ya mkutano mkuu wa Kijiji mnaweza kushinda lakini Kama mkutano mkuu uliazimia eneo apewe mwingine baada ya kuona pori haliendelezwi imeisha hiyo.

Kama sijakosea, Nyie mlipewa sijui Babu yenu alipewa eneo, akaendeleza baadae akafariki na eneo likabaki idle kwa miaka mingi. Vijiji saizi vinakua so huenda serikali ikaona pori haliendelezwi wakagawa.

Watu wengi mnatabia ya kutekeleza maeneo hata miaka 10, mkisikia mji umekua au Kuna urasimishaji wa ardhi mnarudi kwa Kasi ya kombora. Sasa usikute mnaedai mvamizi anamiaka kadhaa hapo aisee hata Mimi sitoki.
 
Asante kwa ushauri wako,lakini huyu mvamizi yeye anadai alilipenda eneo letu (kiwanja) akapeleka maombi kwenye serikali ya kijiji ikamuuzia pasipo ridhaa yetu wanafamilia wala ridhaa ya wanakijiji yaani waliuziana kinyamela huko ofisini na hata hati ya kumuuzia kiwanja haina majina ya wahusika wala hakuna hata muhtasari wa kikao husika.Je hayo mauziano ni halali kwa mjibu wa sheria?.
 
Ndugu kiwanja chetu cha familia kilivamiwa na mtu ambaye alikuwa jirani yetu kwa kipindi hicho,tulipokuwa tunamwambia atoke kwa mdomo alikuwa anasema kuwa hawezi toka kwani amepewa na serikali ya kijiji baada ya kuona hicho kiwanja hakiendelezwi.Tulipofungua kesi mtendaji anasema eti huyu hana makosa maana alipewa na serikali ya kijiji na akatushauri kwamba eti twende tuyamalize huko nyumbani na huyu mvamizi wa kiwanja chetu kitu ambacho sisi kama familia hatujaridhika na huo uamuzi kwani hayuko tayari kutoka kwa hiyari yake.NB ndani ya kiwanja kuna miti ishirini na makaburi matatu.
soma kesi hii itakupa mwanga
---
VILLAGE CHAIRMAN - K.C.U. MATEKA v ANTHONY HYERA ( ) [1988] TZHC 35; (17 October 1988)

1. Land law - Land within jurisdiction of village government - Power of village chairman to re-allocate land.
2. Civil Practice and Procedure - Parties to suit - Claim for land within jurisdiction of village government - Land allocated by village chairman - Village chairman sued - Whether village chairman or allocatee to be sued.
3. Civil Practice and Procedure - Plea of res judicata - Former proceedings quashed for lack of jurisdiction.
4. Civil Procedure - Plea of res judicata - Appellant not a party in former proceedings - Whether plea of res judicata maintainable.

Kazimoto, J.: The appellant was sucessfully sued by the respondent in Myangayanga Primary Court. He appealed to the District Court Mbinga and his appeal was dismissed. He is now appealing to this court. The appellant appeared in person and the respondent was represented by Mr. Mwingira learned counsel. Having heard arguments from both parties I dismissed the appeal with costs and reserved my reasons. Now I proceed to give them.

First the background to the case.

The respondent is a resident of Mateka village. The appellant is the chairman of Mateka Village. The respondent had land in Mateka village and from the evidence on record he has been in that land since 1953. There is a house and permanent trees like coffee trees etc. It appears that he has never abandoned the land. In 1978 one Osmund Leodgar Ndunguru (DW3) was transferred from Tunduru district to Mbinga district. He is a teacher and he was posted at Mateka primary school within Mateka village. He applied to the Matkea village government for a piece of land to build, and the appellant, through the village building committee allocated him land, which the respondent claimed to be his. The respondent instituted proceedings against Osmund Ndunguru in Kigonsera Primary Court Civil Case No. 59 of 1983 which the respondent succeeded. Osmund Ndunguru appealled to the District Court Mbinga in Civil Appeal No. 81 of 1983. The district court quashed the proceedings for lack of jurisdiction on the part of the trial court. The respondent was advised, if he wished, to institute fresh proceedings in the court having jurisdiction to try the suit. It transpired during those proceedings that Osmund Ndunguru had a letter of allocation issued by the appellant as chairman. The respondent then instituted the present proceedings against the appellant who allocated the subject matter of the suit.

Both the trial court and the first appellate court found that the land which appellant had allocated to Osmund Ndunguru belonged to the respondent, that the land belonged to the father of the respondent one Francis who actually planted the permanent trees. The district court held further that the village government had no right to allocate developed land without the prior consent of the owner thereof.

Now I turn to the grounds of appeal. The first issue is whether a village government can lawfully allocate land within its jurisdiction which is under the possession of another villager who is developing it. I do not hesitate to answer that question with a big emphatic no.

Common sense will not allow it. Equity will forbid it. While saying so I should not be taken to question the power of a village government to allocate land within its jurisdiction which has not been allocated to any person. Nor do I question the powers of a village government to allocate land which is already allocated to another person if the person in possession of such land is consulted prior to the re-allocation and he had consented to the proposed re-allocation. A village government which allocated land, as in the present case, which is already under development and in the possession of another person would not only bring lawlessness and anarchy to the villages but would also retard the development of the villages.

In Lukas Masirori Kateti v Sebege [1969] HCD 11 this court warned village development committees to use their powers justly and wisely instead of creating discontent amongst the inhabitants whom they are entrusted to look after. In that case the respondent had already been allocated land. The village development committee re-allocated the same land to the appellant in that case. I would like to associate myself with the decision in that case and echo the same warning.

In the present case the respondent has been in possession of the land. He was not consulted prior to the re-allocation of the land by the appellant to Osmund Ndunguru. The respondent did not consent and as it turns out he has resisted it. In my judgment I concur with the findings of the district court that the appellant has no right to allocate or re-allocate land within its jurisdiction which is in the possession of another villager without the prior consent of the respondent.

The appellant has argued in his memorandum of appeal and before me that he was wrongly sued and that the person to be sued was Osmund Ndunguru. Mr. Mwingira for the respondent has argued that Osmund Ndunguru had no fault. He applied to the village government which, allocated him the land in question by the appellant. He contendend that the case against the appellant has been properly instituted.

I agree with the submission of learned counsel. Osmund Ndunguru did not forcefully enter the respondent's land. He submitted an application to the village government. That application was accepted and approved. The appellant as chairman allocated the land to Osmund Ndunguru who entered into the land under the authority of the appellant. Had he done so without authority Osmund Ndunguru would be liable to be sued for ejection. As the appellant is the authority which allocated the land in dispute he cannot be heard to complain for being sued in court.

The appellant has raised another point in his memorandum of appeal and in his submissions. He has submitted that this case has already been decided by the High Court between Osmund Ndunguru and the respondent. He querried the "wisdom" of the law in instituting this fresh suit against him. He was having in mind the principles of res judicata.
Mr. Mwingira has argued that the appellant has no defence under section 9 of the Civil Procedure Code. He submitted that the appellant was not a party to those proceedings.

I have already indicated that in Kigonsera Primary Court civil case No. 59 of 1983 the parties were Antony Hyera and Osmund Ndunguru. In Mbinga District Court Civil Appeal No. 81 of 1983 the parties were Osmund Ndunguru and Antony Hyera. The appellant as chairman was not a party to those proceedings. As I have said those proceedings were quashed. The effect of quashing court proceedings is to put the parties in the same position as if there had never been any proceedings. Under the circumstances nothing has been finally decided.

Even if Osmund Ndunguru had won the appeal, that is there was a final decision on the matter the plea of res judicata is not open to the appellant. One of the conditions for successful invocation of the plea of res judicata is that the parties in the previous suit must be the same as in the present suit. As demonstrated the appellant was not a party in the previous suit in Kigonsera Primary Court Civil Case No.59 of 1983 and Mbinga District Court Civil Appeal No. 81 of 1983. The plea is therefore not maintainable in law.

The appellant has argued that the trial court and the District Court had wrongly analysed the evidence on record. He contended that there were no permanent trees on the land. He complained about the sketch plan and that they did not take into account the evidence of Mputa who said that the land which was allocated was his and not that of the respondent.

Mr. Mwingira has argued that the appellant did not personally go to the land to ascertain if Osmund Ndunguru was allocated proper land. He stated that according to the evidence the appellant said that he thought the land belonged to Joseph Lihakihala who denied that the land allocated to Osmund Ndunguru was his.

The evidence of Vicent John (DW4) and Joseph Lihakihala and Mputa DW5 is unambigous. DW4 was the chairman of the building committee. According to his evidence they went to DW5

who showed them the area they allocated to Osmund Ndunguru. But DW5 had denied this for he stated that the village government asked him who was living in the shambas which they were asking. He said in no uncertain terms as follows and I quote.

“Serikali ya kijiji haikuwa na madaraka na sehemu hiyo. Waliokuwa wanaishi katika eneo la ugomvi wote wamekufa akiwa ni baba yake Francis”.

According to the testimony of the respondent Francis was his (respondent's) father. The trial court considered this evidence and accepted it as correct. The first appellate court agreed with the assessment of the trial court. In view of the evidence of DW5 this court does not agree that the courts below had come to a wrong conclusion in its evaluation of the evidence of DW4 and DW5.

In the upshot therefore, dismiss the appeal with costs.
Appeal dismissed.
 
Attachments

Vijiji huweka kanuni na Sheria zao(by laws) ambazo hutumika katika Kijiji Chao ambazo Ni mamlaka kamili ambayo yapo kisheria. Wengine ukipewa kiwanja Cha biashara unapewa mwaka 1 usipoendeleza anapewa mwingine, viwanja vya makazi Ni miaka 2wengine miaka 5, 10 n.k.

Sasa kwaupande wenu huenda mlihama mkaenda mijini huko, Sasa maisha ya tozo yamewagonga mmerudi bushi mmekuta yakuyakuta. Kama Hilo eneo iligawa kamati bila maamuzi ya mkutano mkuu wa Kijiji mnaweza kushinda lakini Kama mkutano mkuu uliazimia eneo apewe mwingine baada ya kuona pori haliendelezwi imeisha hiyo.

Kama sijakosea, Nyie mlipewa sijui Babu yenu alipewa eneo, akaendeleza baadae akafariki na eneo likabaki idle kwa miaka mingi. Vijiji saizi vinakua so huenda serikali ikaona pori haliendelezwi wakagawa.

Watu wengi mnatabia ya kutekeleza maeneo hata miaka 10, mkisikia mji umekua au Kuna urasimishaji wa ardhi mnarudi kwa Kasi ya kombora. Sasa usikute mnaedai mvamizi anamiaka kadhaa hapo aisee hata Mimi sitoki.
hujui unachoongea... we are guided by laws. soma kesi niliyoweka hapa
 
Kama huna elimu au uelewa wa masuala ya kisheria usitoe maoni ya kisheria kwa mtu. Angalau mwanzoni ungesema wazi kuwa wewe sio mwanasheria ila unatoa maoni kwa mtazamo wako. Hiki ulichoongea na haya maoni yako vyote havina maana wala mashiko yoyote kisheria yaani kiufupi umefanya upotoshaji.
 
Asante kwa ushauri wako,lakini huyu mvamizi yeye anadai alilipenda eneo letu (kiwanja) akapeleka maombi kwenye serikali ya kijiji ikamuuzia pasipo ridhaa yetu wanafamilia wala ridhaa ya wanakijiji yaani waliuziana kinyamela huko ofisini na hata hati ya kumuuzia kiwanja haina majina ya wahusika wala hakuna hata muhtasari wa kikao husika.Je hayo mauziano ni halali kwa mjibu wa sheria?.
Hapo hakuna uhalali na mwenyekiti aliehusika anaweza akajumuishwa kwenye. Kesi kwa kuuza Mali ya mtu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kama huna elimu au uelewa wa masuala ya kisheria usitoe maoni ya kisheria kwa mtu. Angalau mwanzoni ungesema wazi kuwa wewe sio mwanasheria ila unatoa maoni kwa mtazamo wako. Hiki ulichoongea na haya maoni yako vyote havina maana wala mashiko yoyote kisheria yaani kiufupi umefanya upotoshaji.
Toa fact zako tuzione

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo kesi ni ya mwenyekiti wa Kijiji lakini ingekua serikali ya Kijiji na maamuzi ya mkutano mkuu wa Kijiji tungepata mwanga zaidi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mwenyekiti anatoa maamuzi kwa niaba ya serikali ya Kijiji... analolifanya kama Mwenyekiti, he will be sued as Mwenyekiti wa Kijiji not by his personal identity/name
 
Ndugu kiwanja chetu cha familia kilivamiwa na mtu ambaye alikuwa jirani yetu kwa kipindi hicho,tulipokuwa tunamwambia atoke kwa mdomo alikuwa anasema kuwa hawezi toka kwani amepewa na serikali ya kijiji baada ya kuona hicho kiwanja hakiendelezwi.Tulipofungua kesi mtendaji anasema eti huyu hana makosa maana alipewa na serikali ya kijiji na akatushauri kwamba eti twende tuyamalize huko nyumbani na huyu mvamizi wa kiwanja chetu kitu ambacho sisi kama familia hatujaridhika na huo uamuzi kwani hayuko tayari kutoka kwa hiyari yake.NB ndani ya kiwanja kuna miti ishirini na makaburi matatu.
Ndaelezea kiujumla.

Serikali ya kijiji kupitia baraza la kijiji inaweza kutaifisha ardhi ya mmiliki ambae ameshindwa kukidhi masharti ya umiliki kwa muda wa kuanzia miaka 3 hadi 5 itategemea na masharti ya umiliki kifungu 45 cha sheria ya ardhi ya kijiji ya 1999.

Ingawa serikali ya kijiji inaweza kufanya hivyo zipo taratibu ambazo inapaswa kufanya, ikiwa ni pamoja na kutoa tangazo la nia yakutaka kufanya utaifishaji hio, sababu nk.

Kama umilikiwenu ulitelekeza eneo kwazaidi ya miaka mitano na kushindwa kuendana na masharti ya umiliki basi serikali imetumia mamlaka yake. Ingawa mnaweza kuchunguza kama taratibu za kutaifisha ardhi husika zilifwatwa, hili linaweza kuwa msaada kwenu.
 
Sio mwanasheria ila kama wanakijiji walishirikishwa na pesa ikafanya maendeleo ya Kijiji, hakuna mvamizi ila ameuziwa na Kijiji. Kumbuka serikali inaanzia kijijini.
 
Ndaelezea kiujumla.

Serikali ya kijiji haina mamlaka yakuchukua eneo la MTU mmoja nakumpa mwingine, haina mamlaka hayo kisheria. Mtu au serikali inaweza kumpa mtu mwingine eneo ambalo nilake nasikuchukua eneo la mtu mwingine nakumpa mtu.

Nikweli kwamba serikali ya kijiji inaweza kumiliki ardhi, kwamisingi hio eneo ambalo linamilikiwa na kijiji linaweza kutolewa nakumpa mtu mwingine kwa utaratibu uliowekwa kisheri ikiwa ni pamoja na kuusisha kamati ya kijiji, pamoja na kushirikisha wananchi wa kijiji husika ili kutoa ridhaa yao na mapendekezo yao. Hio nikwa ardhi inayomilikiwa na kijiji na si mwanakijiji.

Serikali kuchukua eneo, serikali inaweza kuchua eneo la mwananchi/mwanakijiji kwajili ya matumizi ya manufaa ya umma (public interest), na uchukuaji huo utaambatana na ulipaji wa fidia kwa mmliki husika.

Mwisho kuhusu mada husika.

Kitendo cha mtu kuingia kwenye eneo la mtu pasipo ridhaa yake nikosa kisheria (trespass). Mtu huyu kama mvamizi anaweza kuwa mmliki waeneo husiki ikiwa tu amevamia eneo husika nakukaa kwa muda wa miaka zaidi ya 12 bila mmiliki kujitokeza ikiwa hakuwa na sababu yoyote yakumfanya ashindwe kuonekana katika eneo husika kwa muda wote uo. Sababu zenyewe yaweza kuwa mmiliki kuwa jera, kuwa naugonjwa uliomfanya ashindwe kufanya maamuzi, kuwa njee ya nchi, umri mdogo nk.

NB: Huyo nimvamizi na anapaswa kuondoka kama kweli ninyi niwamiliki halali wa eneo husika, kwa utaratibu zaidi wakupata haki wasilisheni madai yenu katika baraza la kata ili kuweza kupata amri ya mahakama.
Asante sana ndugu yangu ubarikiwe kwa ushauri mzuri na kisheria

Sio mwanasheria ila kama wanakijiji walishirikishwa na pesa ikafanya maendeleo ya Kijiji, hakuna mvamizi ila ameuziwa na Kijiji. Kumbuka serikali inaanzia kijijini.
Wanakijiji hawakuhusishwa na hawajui lolote, yeye huyu mvamizi (jirani) anadai baada ya kuona eneo liko huru akatuma maombi kwenye serikali ya kijiji ikamgawia.NB kumbuka ndani ya kiwanja kuna kaburi tatu,miti ya matunda na ya mbao kuna pagale la nyumba tuliyokuwa tunaishi kipindi hicho.
 
Asante sana ndugu yangu ubarikiwe kwa ushauri mzuri na kisheria

Wanakijiji hawakuhusishwa na hawajui lolote, yeye huyu mvamizi (jirani) anadai baada ya kuona eneo liko huru akatuma maombi kwenye serikali ya kijiji ikamgawia.NB kumbuka ndani ya kiwanja kuna kaburi tatu,miti ya matunda na ya mbao kuna pagale la nyumba tuliyokuwa tunaishi kipindi hicho.
Kama yeyendio alituma maombi basi hakuwa sahihi.

Nimuda gani tangia muondoke katika eneo husika.
 
Kama yeyendio alituma maombi basi hakuwa sahihi.

Nimuda gani tangia muondoke katika eneo husika.
kile kiwanja ni vile vya ujamaa,tuliondoka pale 1985 tukarudi kwenye maeneo yetu ya asili ambayo yako pale pale kijijini,kiwanja kikabaki pale kikiwa na miti ya matunda tuliokuwa tunachuma kila mwaka ,makaburi na nyumba ambayo ilikuwa inatumika kama kanisa la wasabato mpaka mwaka 2017 ilipoanguka.
 
Ndaelezea kiujumla.

Serikali ya kijiji kupitia baraza la kijiji inaweza kutaifisha ardhi ya mmiliki ambae ameshindwa kukidhi masharti ya umiliki kwa muda wa kuanzia miaka 3 hadi 5 itategemea na masharti ya umiliki kifungu 45 cha sheria ya ardhi ya kijiji ya 1999.

Ingawa serikali ya kijiji inaweza kufanya hivyo zipo taratibu ambazo inapaswa kufanya, ikiwa ni pamoja na kutoa tangazo la nia yakutaka kufanya utaifishaji hio, sababu nk.

Kama umilikiwenu ulitelekeza eneo kwazaidi ya miaka mitano na kushindwa kuendana na masharti ya umiliki basi serikali imetumia mamlaka yake. Ingawa mnaweza kuchunguza kama taratibu za kutaifisha ardhi husika zilifwatwa, hili linaweza kuwa msaada kwenu.
Naomba unisaidie ndugu sheria inasemaje hapa ,kama kiwanja cha mtu kina miti,makaburi na nyumba na huyu mtu akahamia sehemu nyingine akaviacha vile vitu ndani ya kiwanja chake anachomiliki kihalali inachukua muda gani kisheria thamani ya hivyo vitu kuisha ndani ya ardhi hiyo ili serikali ya kijiji iweze kuwa na mamulaka kamili ya kuweza kumiliki ardhi ya mtu husika.KARIBU SANA.
 
Back
Top Bottom